LOOOK
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,389
- 674
baada ya ile ya kuwapakazia chadema wenyewe kugoma sasa mmekuja na hii ya kudai kuna mtu ana mchonganisha na rais ! CCM kwa kweli kama mungu kweli yupo na kweli hukumu ipo kwa hakika mikono yenu imeshika roho za wengi wasio na hatia.Wadau,
Nawasalimia ktk jina la Tanzania!
Kila mmoja wetu tuungane kumuombea Mh. Lissu ili apone haraka.
Mbinu hii chafu na dhalimu ya mabebari ya kutaka kutuchonganisha kwa kumpiga risasi Mh. Lissu ishindwe ktk jina la Tanzania. Watanzania tunaamini ktk umoja wetu, tunaamini ktk Tanzania. Mbinu zao nyingi zilishashindwa na hili watashindwa na Tanzania yetu itabaki.
Mungu ibariki nchi yetu Tanzania, na wale wote wanaotuonea wivu washindwe ktk jina la Tanzania.
Tuwe watulivu wadau tukisubiri vyombo vyetu chini ya Amri Jeshi Mkuu Dkt Magufuli vikifanya kazi ili kutoa mbivu na mbichi kwa kuwabaini wahusika na ili sharia ichukue mkondo wake.