DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Wadau,
Nawasalimia ktk jina la Tanzania!

Kila mmoja wetu tuungane kumuombea Mh. Lissu ili apone haraka.

Mbinu hii chafu na dhalimu ya mabebari ya kutaka kutuchonganisha kwa kumpiga risasi Mh. Lissu ishindwe ktk jina la Tanzania. Watanzania tunaamini ktk umoja wetu, tunaamini ktk Tanzania. Mbinu zao nyingi zilishashindwa na hili watashindwa na Tanzania yetu itabaki.

Mungu ibariki nchi yetu Tanzania, na wale wote wanaotuonea wivu washindwe ktk jina la Tanzania.

Tuwe watulivu wadau tukisubiri vyombo vyetu chini ya Amri Jeshi Mkuu Dkt Magufuli vikifanya kazi ili kutoa mbivu na mbichi kwa kuwabaini wahusika na ili sharia ichukue mkondo wake.
baada ya ile ya kuwapakazia chadema wenyewe kugoma sasa mmekuja na hii ya kudai kuna mtu ana mchonganisha na rais ! CCM kwa kweli kama mungu kweli yupo na kweli hukumu ipo kwa hakika mikono yenu imeshika roho za wengi wasio na hatia.
 
Hayo wanayoyafanya walitakiwa watawale milele,lakini kama wana ukomo basi wanatakiwa wajitathimini na wawe nahofu kwa uhasama na chuki wanazopandikiza kwenye mioyo ya watu.
 
Thou seest, O my Lord, Thy suppliant waiting at the door of Thy bounty, and him who hath set his hopes on Thee clinging to the cord of Thy generosity. Deny him not, I beseech Thee, the things he seeketh from the ocean of Thy grace and the Daystar of Thy loving-kindness.

Powerful art Thou to do what pleaseth Thee. There is none other God save Thee, the Ever-Forgiving, the Most Generous.
hiki kigiliki au kisungu?
 
Tumshukuru Mungu kwa afya ya Tundu Lissu hadi sasa. Kushukuru ni sehemu muhimu ya maombi. [HASHTAG]#PrayForTunduLissu[/HASHTAG]
Tumekuwa wamoja kumwombea Tundu Lissu hii ndo Tanzania tunayoitaka. Umoja ni nguvu
IMG_20170908_011604_203.jpg
 
Hivi huyu mh baada ya kuona anafatwa na gari kwa nini alienda nyumbani? Si angeenda kituo cha polisi kujisalimisha? Au ndio ile ya kuona vyombo vya ulinzi na usalama ni maadui? Wanasiasa wengine mjifunze kitu hapo propoganda za kuvichafua hivi vyombo hazilipi hata kidogo.

Mchina wa jF.
Na washawasha!
 
Tunaendelea kumuombea Mh Tundu Lisu apone kwa haraka,tunaamini Mungu aliyemlinda na makusudio maovu ya waliomfyatulia risasi atamponya kwa haraka ili arejee kuyafanya majukumu yake katika nchi hii. Pamoja na mijadala ya humu niwasihi wote wenye mapenzi mema na nchi yetu tuendelee kupeleka dua, na sala zetu kwa Mwenyezi Mungu kwa uponyaji wa haraka wa Mh Lisu, naamini wengi tunafanya hivyo, basi tusijisahau tukaishia kwenye kuandika humu tukaacha dua kwa ajili yake
 
Nategemea leo cdm wakiitisha press jambo la msingi tuingie tu mtaani tupinge huuu uhuni wa serikali...
Na tuingie mtaani tuonyeshe hisia zetu...ili uuuuu uhuni usijirudie tena!!...
Kuandamanda ni haki yetu raia kikatiba
Weeee?hapa ni kimyakimya lilia tumboni.
 
Baada ya taarifa kuhusu kupigwa risasi Mh. Tundu Lissu jana mchana, kuna taarifa pia toka ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama kuwa wakae chonjo na tayari kudhibiti maadamano au mikusanyiko yeyote ( kama itatokea) yenye lengo la kulaani kupigwa risasi mh. Lissu.

Pona mapema ndugu Lissu.
Nafikiri hilo halina TATIZO.
MIKAKATI ya TAHADHARI za KIUSALAMA ni lazima zichukuliwe.

Sisi kama wananchi tutulie tu na TUVIACHIE vyombo HUSIKA kufanya linalostahili.
Na hiyo ni kawaida sana kuchukua TAHADHARI kama hiyo kwa nchi yeyote hasa kunapokuwa na tukio baya kama hili.
 
Wadau,
Nawasalimia ktk jina la Tanzania!

Kila mmoja wetu tuungane kumuombea Mh. Lissu ili apone haraka.

Mbinu hii chafu na dhalimu ya mabebari ya kutaka kutuchonganisha kwa kumpiga risasi Mh. Lissu ishindwe ktk jina la Tanzania. Watanzania tunaamini ktk umoja wetu, tunaamini ktk Tanzania. Mbinu zao nyingi zilishashindwa na hili watashindwa na Tanzania yetu itabaki.

Mungu ibariki nchi yetu Tanzania, na wale wote wanaotuonea wivu washindwe ktk jina la Tanzania.

Tuwe watulivu wadau tukisubiri vyombo vyetu chini ya Amri Jeshi Mkuu Dkt Magufuli vikifanya kazi ili kutoa mbivu na mbichi kwa kuwabaini wahusika na ili sharia ichukue mkondo wake.
Ccm inapendwa na wenye elimu ndogo kama nyie
 
Najua Lissu uko tayari kufa kwa unavyovisimamia kuliko kusimama huku unavyovisimamia vikiwa vimekufa, basi utaishi milele kwenye peo na fikra za Wazalendo. (no matter what happens )
 
Nafikiri hilo halina TATIZO.
MIKAKATI ya TAHADHARI za KIUSALAMA ni lazima zichukuliwe.

Sisi kama wananchi tutulie tu na TUVIACHIE vyombo HUSIKA kufanya linalostahili.
Na hiyo ni kawaida sana kuchukua TAHADHARI kama hiyo kwa nchi yeyote hasa kunapokuwa na tukio baya kama hili.
Haki ya maandamano na mikusanyiko ipo kikatiba, vyombo vinatakiwa kutoa ulinzi.
 
Ofisi za Fatma Karume ni za siasa au uwakili?
Ukipata majibu basi toa ushauri mwingine
Kuna ofisi ngapi za uwakili? Why IMMMA? Fatma karume hana ofisi ya uwakili.Fatma hajachomewa ofc. Ofisi iliyochomwa ni IMMMA .
 
Back
Top Bottom