DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Our so called peace was put on test yesterday, it's still on test least Lisu's welness
 
By the way how is doing today?
Yaan nimejikuta nawaza zaidi kuhusu mkewe na watt wake. Eti nawaza wanaweza kutekwa ama hata kutimizwa ili tuu kumaliza juu yao?

Kwasabb kama mtenda hajapatkana na nakutumia wazo lake la Ku m rip ni waz kuwa alipofika anajipanga kivingine
 
Nategemea leo cdm wakiitisha press jambo la msingi tuingie tu mtaani tupinge huuu uhuni wa serikali...
Na tuingie mtaani tuonyeshe hisia zetu...ili uuuuu uhuni usijirudie tena!!...
Kuandamanda ni haki yetu raia kikatiba
Nenda peke yako. Maana hata wananchi wa Libya walidanganywa na mabepari kwamba Gaddafi mbaya wakamuua sa hivi wanajua. Tuwe makini maana sa hivi tunapambana na mabepari wasije pandikiza chuki baina yetu tukauana wenyewe kwa wenyewe.
 
Haki ya maandamano na mikusanyiko ipo kikatiba, vyombo vinatakiwa kutoa ulinzi.
Ni kweli kabisa. Ila uelewe katika matukio kama haya WAHUNI HUJIPENYEZA wakiwa na NIA mbaya. Heri kukinga kuliko kuponya
 
Wawe makini tu siku tutakapoanza na sisi kujibu kwa mabomu hapatakalika na amani hawatakuwa nayo
 
Kwahiyo unamuombea Lissu afe siyo?ama kweli kuna watu na viatu
Naona umendandia gari kwa mbele, kuna mtu nilikuwa ninamjibu baada ya kusema kwamba watu wanaopigwa risasi za tumboni uko afrika kusini wanapona.
Nikamjibu ya kwamba inategemeana risasi imearibu kitu gani ndani.
 
Nenda peke yako. Maana hata wananchi wa Libya walidanganywa na mabepari kwamba Gaddafi mbaya wakamuua sa hivi wanajua. Tuwe makini maana sa hivi tunapambana na mabepari wasije pandikiza chuki baina yetu tukauana wenyewe kwa wenyewe.
Mabepari wanasingiziwa kwa ujinga wa wale tuliowaweka madarakani mabepari ndio wanaleta Noah kila siku, mabepari ndio wanafunga watu kila wakati masaa 48? Afrika ujinga utatumaliza
 
Mabepari wanasingiziwa kwa ujinga wa wale tuliowaweka madarakani mabepari ndio wanaleta Noah kila siku, mabepari ndio wanafunga watu kila wakati masaa 48? Afrika ujinga utatumaliza
We ndo mjinga na nyie ndo mnaolengwa maana wanajua wakifanya hivi lazima mfanye maamuzi ya kukurupuka
 
Ni kweli kabisa. Ila uelewe katika matukio kama haya WAHUNI HUJIPENYEZA wakiwa na NIA mbaya. Heri kukinga kuliko kuponya
Nchi zenye demokrasia komavu mbona yanawezekana, sisi tunashindwa nini kudhibiti hao wauni ili maandamano ya amani yaendelee.
Hii intelijensia ya kuzuia wahuni wa maandamano na sio intelijensia ya kuzuia mauaji ya viongozi au wananchi?
 
image ya nchi inaharibiwa na hawa waalifu waliofanya hili shambulio, nimeona amnesty, bbc, new york times, aljazeera etc...hii sio picha nzuri, haya sio mambo yetu kabisa.

Tunapoendelea kutoa pole, we also need be real. Tujiulize: je sisi ni sehemu kweli ya pole tunazizitoa au sehemu ya tatizo lililompata Lissu? What did we say yesterday or last week? Je si sisi tuliokwenda huku na huku tukisema ni mchochezi? Si sisi tuliotaka aozee gerezani kwa sababu anakosoa kila kitu? Si sisi tuliosema si mzalendo kwa sababu amenunuliwa? What did you exactly do or say yesterday or last week?? If you want true healing, if you want your humility to be counted, be real and stop hypocrisy. God hates it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…