Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki ya maandamano na mikusanyiko ipo kikatiba, vyombo vinatakiwa kutoa ulinzi.
Nenda peke yako. Maana hata wananchi wa Libya walidanganywa na mabepari kwamba Gaddafi mbaya wakamuua sa hivi wanajua. Tuwe makini maana sa hivi tunapambana na mabepari wasije pandikiza chuki baina yetu tukauana wenyewe kwa wenyewe.Nategemea leo cdm wakiitisha press jambo la msingi tuingie tu mtaani tupinge huuu uhuni wa serikali...
Na tuingie mtaani tuonyeshe hisia zetu...ili uuuuu uhuni usijirudie tena!!...
Kuandamanda ni haki yetu raia kikatiba
Ni kweli kabisa. Ila uelewe katika matukio kama haya WAHUNI HUJIPENYEZA wakiwa na NIA mbaya. Heri kukinga kuliko kuponyaHaki ya maandamano na mikusanyiko ipo kikatiba, vyombo vinatakiwa kutoa ulinzi.
Wawe makini tu siku tutakapoanza na sisi kujibu kwa mabomu hapatakalika na amani hawatakuwa nayoHuko ndiko hakutakiwa kwenda.
Wanasiasa wa upande uliotengwa wanazuiwa kufanya siasa, wanasheria wako katika kutishiwa maisha...tunakoelekea kila mdomo unaosema kweli utazibwa. CW R.I.P aliposema anakwenda kushughulika na mgodi wa Nyamongo matokeo tuliyaona na propaganda zikatengenezwa kama zinavyoanza kutengenezwa sasa.
Matatizo hayamalizwi kwa kutengeneza matukio ambayo yataleta matatizo. Leo hii wananchi wanalala nje baada ya kubomolewa majengo, hali mtaani zinazidi kuwa mbaya huku raia wakisifiwa ujinga wa kutofanya kazi kwa bidii kuwa ndio sababu ya kukosa kwao mapato! Je wakitishiwa wanasheria wenye kutetewa na wanasheria hao wafanyeje? Kuna jambo linajengwa na watu wasiofikiri kwa kichwa kwa kudhani wanafurahisha waliowaajiri huku wakijisahaulisha kwamba waajiri wao wakuu ni walioko mitaani.
Naona umendandia gari kwa mbele, kuna mtu nilikuwa ninamjibu baada ya kusema kwamba watu wanaopigwa risasi za tumboni uko afrika kusini wanapona.Kwahiyo unamuombea Lissu afe siyo?ama kweli kuna watu na viatu
Mabepari wanasingiziwa kwa ujinga wa wale tuliowaweka madarakani mabepari ndio wanaleta Noah kila siku, mabepari ndio wanafunga watu kila wakati masaa 48? Afrika ujinga utatumalizaNenda peke yako. Maana hata wananchi wa Libya walidanganywa na mabepari kwamba Gaddafi mbaya wakamuua sa hivi wanajua. Tuwe makini maana sa hivi tunapambana na mabepari wasije pandikiza chuki baina yetu tukauana wenyewe kwa wenyewe.
Tafadhali kuwa na adabu.Kumbendiyo maana unapend kubong'oa, sawa tu......nitakutafuta hivi karibuni.
kaenda NairobiMkuu nairobi au muhimbili..??
We ndo mjinga na nyie ndo mnaolengwa maana wanajua wakifanya hivi lazima mfanye maamuzi ya kukurupukaMabepari wanasingiziwa kwa ujinga wa wale tuliowaweka madarakani mabepari ndio wanaleta Noah kila siku, mabepari ndio wanafunga watu kila wakati masaa 48? Afrika ujinga utatumaliza
Nchi zenye demokrasia komavu mbona yanawezekana, sisi tunashindwa nini kudhibiti hao wauni ili maandamano ya amani yaendelee.Ni kweli kabisa. Ila uelewe katika matukio kama haya WAHUNI HUJIPENYEZA wakiwa na NIA mbaya. Heri kukinga kuliko kuponya
Tafadhali kuwa na adabu.
Labda simu yako.Nani aliyekosa adabu kati ya mimi na wewe? Huoni unanibong'olea mwanaume mwenzio, unataka nini kwangu?