DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Hujui uchungu na mshangao alionao hadi ameshindwa kuongea
 
HIVI RISASI 28-30 UNAZANI HILO NI JAMBO LA MCHEZO?WALIPANGA AWE chapati MUNGU ALIE MUUMBA TUNDU LISU
MUNGU ALIE MLINDA TUNDU LISU NA RISASI 28-30 ZIKAMPATA 5 TU ANAWEZA KUMLINDA MAHALI POPOTE
MUNGU mlinde tundu lisu MPONYE HARAKA KWANI MUNGU UNAWEZA[emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwa mkono WA Mungu amepona.

Lakini.....
Who wants Tundu Lisu dead?
Magu.
Nani ana donge la kufa MTU na Tundu Lissu?
Magu

Hatumung’unyi Tena.

Magufuli anahusika Moja kwa Moja na jaribio lililoshindwa mbaya la kumuua Tundu Lisu.
Magufuli ZHe KEllEr
 
Du nchi yetu sasa imeshakuwa kama Somali, kama kwa mti mbichi anafanyiwa hivi je kwa mti mkavu kama mimi?
 
Hii ni kwa mujibu wa uchunguzi wangu , ukipita kila mtaa wa DSM , Chuki ya wananchi juu ya maharamia waliohusika ni kubwa mno , nimewasiliana na mikoa karibu yote ya nchi hii chuki dhidi ya wauaji hawa haisemeki .

Hii maana yake ni kwamba hakuna mtu yeyote mwema katika nchi hii anayeunga mkono mpango huo wa KISHAMBA , ambayo ni ishara kwamba maharamia watashindwa vibaya sana !

Natoa wito kwa watanzania wenzangu kuendelea kuonyesha chuki zao dhidi ya wauaji hawa waliojaa uoga , maana KAULI YA WENGI NI KAULI YA MUNGU .

Mungu ibariki Chadema , Mungu mbariki Tundu Lissu .
 
Tumerudi nyuma katika karne ya 20. Sijui tupo katika mwaka wa 1970 au..............

Angalizo kwa vyama vyote vya siasa: Mnapomteua yeyote yule kuwa ni mgombea urais toka vyama vyenu (Hata kama huna hakika ya chama chako kushinda nafasi ya uraisi) ,hakikisheni mnachagua/mnateua mtu mwenye akili timamu na mwenye kuipenda Tanzania kwa dhati na mwenye kupenda na kuelewa jinsi ya kukuza Demokrasia. Hakikisheni kuwa mtu huyo amekwishapata nafasi ya uongozi katika ngazi za wilaya na kwenda juu katika chama chenu na kufanya vizuri huko. Na lazime awe ni mtu anayefuata na kuzitekeleza sheria.

Tanzania ipo katika hatari ya machafuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…