MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Yuko bize na maombi ya uponyaji wa Lisu!Vipi mbona Lowassa Yuko kimya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko bize na maombi ya uponyaji wa Lisu!Vipi mbona Lowassa Yuko kimya?
Hujui uchungu na mshangao alionao hadi ameshindwa kuongeaMzee Lowassa ambaye ni mgombea urais wa Chadema amekuwa ni mwepesi sana na haraka utoa pole pale yanapotokea majanga. Amekuwa kimya sana tangu litokee tukio la kupigwa risasi kwa Ndugu Lissu na watu wasiojulikana. Nini kimemkuta mzee wetu? Anasubiri nini kutoa pole?
Tunajua kwa nafasi yake angekuwa mtu wa mwanzo kutoa pole kama ilivyo kawaida yake.
![]()
Haya sawa.Sidhani hata kama itakusaidia
Kawadanganyeni Lumumba mliowashikia vichwaMaadui wakuu wa Lissu ni Timu Mbowe na Timu EL kisa uenyekiti. Wachache wameshagundua haswa ukikumbuka yaliyowapata Akina Wangwe na ZZK walipotaka kugombea uenyekiti
nani kakulazimisha mkosa malinda wewe? Nyie si ndio mnalazimishana uzalendo? Nyie mnatuibia halafu mnatulazimisha kuwa wazalendo kuwasapoti wezi waliotufikisha hapa. Mama e zenu ipo sikuKumuombea Lissu siyo lazima.
Waliochukizwa ni wale wenye akili timamu tu .Me ni mtanzania na wala sijachukizwa mbona?
Kweli mkuu, huyo anafurahishwa na kila kitu hata akipakatwaWaliochukizwa ni wale wenye akili timamu tu .
We ndio msemaji wake?Hujui uchungu na mshangao alionao hadi ameshindwa kuongea
We ndo umetekeleza tukio kwa hiyo huwezi kuchukia.Me ni mtanzania na wala sijachukizwa mbona?