Kitendo cha Lissu kunusulika na kusalia kuishi hapa dunia ni dhahili Mungu anamakusudi yake!
Kwa hili sasa halihitaji ubishi, Tundu lissu ndio mpinzani mkuu wa rais Magufuli hapo 2020 na uwezo wa kushinda ni mkubwa
Kutokana na nature ya tukio alilofanyiwa TL hakika linaumiza lakini waliolifanya ndio hivyo hawajitambui, zaidi wamemjenga na kumuimarisha kisiasa kuelekea mbio za urais 2020
Lissu sasa anasikika kila kona ya nchi, kiki aliyotengenezewa na haitafutika leo wa kesho, ndivyo siasa ilivyo hivyo yaani hutegemea matukio kama kufungwa, kuishi nchi za ugenini (mkimbiz wa kisiasa) na watu wa namna hii wanaporudi nchi mwao na kuwa huru hufanikiwa sana katika siasa zao za kimapinduzi!
Get well soon TL
D.A "Mwanaume mashine"