Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio!We ndio msemaji wake?
Lowassa kimya mpaka sasa.Kwahiyo unamuombea Lissu afe siyo?ama kweli kuna watu na viatu
Hahahah acha unaafki,sema lililopo rohoni mwako tuu,unatamani angekufa ila ndio Mungu hakupenda mliyoyapangaHa ha haaaaaa acha wivu
Kila mtu atabeba mzigo wake..
PumbafuuLowassa kimya mpaka sasa.
Very easy.
nchi hii imefika hatua mbaya. je aliyemtishia nape hadharani mchana peupe. maagizo ya Mh Mwigulu yalitekelezwa?
Falsafa ya maisha inasema "kipimo unachowapimia wenzako nawe utapimiwa hichohicho, utakachotenda ndicho utakachotendewa. Na huwezi kufa bila kuyaonja machungu yaleyale"mkibakwa mnalialia kama roma mkatoliki
Comment ya kichawi kuwahi kutolewa siku ya SabatoMnacheza na yule mzee nyie.......
Naona mnaendelea kumchulia shauri Yenu......
Hivi unajua ashatumia sh ngap hadi saiz
Sent using Jamii Forums mobile app