Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Vijana wa Lumumba wana akili kama za samakiNi jambo la kushangaza kidogo hawa marafiki wa Lisu mpaka sasa hawajatoa pole yoyote kwa mtetezi wao mkubwa aliyepatwa na janga.
Lisu ndio alikuwa mtetezi wao mkubwa hivyo tunawasihi wamkumbuke mwenzao wakati wa shida na siyo kumtumia wakati wa furaha tu.
Bado hamjachelewa Miga na Acacia jitokezeni mmpe pole na kumchangia mtetezi wenu namba moja Tundu Lisu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitendo cha Lissu kunusulika na kusalia kuishi hapa dunia ni dhahili Mungu anamakusudi yake!
Kwa hili sasa halihitaji ubishi, Tundu lissu ndio mpinzani mkuu wa rais Magufuli hapo 2020 na uwezo wa kushinda ni mkubwa
Kutokana na nature ya tukio alilofanyiwa TL hakika linaumiza lakini waliolifanya ndio hivyo hawajitambui, zaidi wamemjenga na kumuimarisha kisiasa kuelekea mbio za urais 2020
Lissu sasa anasikika kila kona ya nchi, kiki aliyotengenezewa na haitafutika leo wa kesho, ndivyo siasa ilivyo hivyo yaani hutegemea matukio kama kufungwa, kuishi nchi za ugenini (mkimbiz wa kisiasa) na watu wa namna hii wanaporudi nchi mwao na kuwa huru hufanikiwa sana katika siasa zao za kimapinduzi!
Get well soon TL
D.A "Mwanaume mashine"
Mimi nafikiri samaki papa anaakili kuliko nyumbu.we unaonaje
Sawa atakuwa candidate wa kugombea urahisi kwa ticket ya CHADEMA na UKAWA, kama huo umoja bado upo, lakini ushindi dhidi ya Magufuli hiyo sahau. Watanzania wameamka sana kwa hivi sasa. Asante Magufuli tunaona sasa nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi yetu. Na ni kuambie tu kwa taarifa yako inawezekana Tundu Lissu akawa mpinzani maarufu sana, lakini kuwa mpinzania maarufu hakumaanishi kuwa amepata credit na watanzania kuwa kiongozi wao. Hizo ni ndoto au ni wishes zenu wana CHADEMA. Magufuli is a big number so tu kwa watanzania bali ulimwenguni.Kitendo cha Lissu kunusulika na kusalia kuishi hapa dunia ni dhahili Mungu anamakusudi yake!
Kwa hili sasa halihitaji ubishi, Tundu lissu ndio mpinzani mkuu wa rais Magufuli hapo 2020 na uwezo wa kushinda ni mkubwa
Kutokana na nature ya tukio alilofanyiwa TL hakika linaumiza lakini waliolifanya ndio hivyo hawajitambui, zaidi wamemjenga na kumuimarisha kisiasa kuelekea mbio za urais 2020
Lissu sasa anasikika kila kona ya nchi, kiki aliyotengenezewa na haitafutika leo wa kesho, ndivyo siasa ilivyo hivyo yaani hutegemea matukio kama kufungwa, kuishi nchi za ugenini (mkimbiz wa kisiasa) na watu wa namna hii wanaporudi nchi mwao na kuwa huru hufanikiwa sana katika siasa zao za kimapinduzi!
Get well soon TL
D.A "Mwanaume mashine"
Angekuwa mpiga maneno matupu angekuwa anatajwa na kulaumiwa katika hotuba zote kuu?Katika mantiki za Kisiasa na vita vya kiuchumi. Wewe ni mfuasi namba moja wa hao Watu wenye nia mbaya. Kama Lissu alitakiwa afe kwa sababu za upande wa Serikali. Embu tupe hoja. Hapa. MOTIVE INGEKUWA NINI HASA alichofanya zaidi ya umbeya. Ingawa upande wa wtz wa mitandaoni umbeya ni Kiki. Yani wewe unaona mpiga maneno ni Tishio kwa Serikali. Kama Yesu alikufa kwa ajili ya wengi. Alikufa kwa maana kubwa. Lissu. (Pole kwa kupigwa Risassi ) amefanya nini ambacho kimemsadia mtz zaidi ya Rais. Embu punguzeni umbeya. Na tatizo lenu matokeo yakitoka tofauti hamrudi nyuma kuomba msamaha wala nini. Mnabishana tu kishule ya msingi. Kama kweli nyie ndo wapenda haki na Demokrasia. Hampaswi kuwa na majibu kabla ya uthibitisho. "Its a natural Justice "no one is guilty until proven " na pia every one has the right to be heard before anything---- ndo mana wabongo Hatujui tunachotaka. Unataka haki. Wewe hupendi haki how.
Haaaaaa! Hapo ndio mnataka wakachome moto na nyumba yake kabisa acheni kupandisha watu pressure.Kitendo cha Lissu kunusulika na kusalia kuishi hapa dunia ni dhahili Mungu anamakusudi yake!
Kwa hili sasa halihitaji ubishi, Tundu lissu ndio mpinzani mkuu wa rais Magufuli hapo 2020 na uwezo wa kushinda ni mkubwa
Kutokana na nature ya tukio alilofanyiwa TL hakika linaumiza lakini waliolifanya ndio hivyo hawajitambui, zaidi wamemjenga na kumuimarisha kisiasa kuelekea mbio za urais 2020
Lissu sasa anasikika kila kona ya nchi, kiki aliyotengenezewa na haitafutika leo wa kesho, ndivyo siasa ilivyo hivyo yaani hutegemea matukio kama kufungwa, kuishi nchi za ugenini (mkimbiz wa kisiasa) na watu wa namna hii wanaporudi nchi mwao na kuwa huru hufanikiwa sana katika siasa zao za kimapinduzi!
Get well soon TL
D.A "Mwanaume mashine"
Iyo pole yako ni unafiki mtupu!Katika mantiki za Kisiasa na vita vya kiuchumi. Wewe ni mfuasi namba moja wa hao Watu wenye nia mbaya. Kama Lissu alitakiwa afe kwa sababu za upande wa Serikali. Embu tupe hoja. Hapa. MOTIVE INGEKUWA NINI HASA alichofanya zaidi ya umbeya. Ingawa upande wa wtz wa mitandaoni umbeya ni Kiki. Yani wewe unaona mpiga maneno ni Tishio kwa Serikali. Kama Yesu alikufa kwa ajili ya wengi. Alikufa kwa maana kubwa. Lissu. (Pole kwa kupigwa Risassi ) amefanya nini ambacho kimemsadia mtz zaidi ya Rais. Embu punguzeni umbeya. Na tatizo lenu matokeo yakitoka tofauti hamrudi nyuma kuomba msamaha wala nini. Mnabishana tu kishule ya msingi. Kama kweli nyie ndo wapenda haki na Demokrasia. Hampaswi kuwa na majibu kabla ya uthibitisho. "Its a natural Justice "no one is guilty until proven " na pia every one has the right to be heard before anything---- ndo mana wabongo Hatujui tunachotaka. Unataka haki. Wewe hupendi haki how.
lisu atatufaa sana. kwenyechakato wa katiba mpya. pia ni international figure atasaidia nchi kwenye diplomasia.Kitendo cha Lissu kunusulika na kusalia kuishi hapa dunia ni dhahili Mungu anamakusudi yake!
Kwa hili sasa halihitaji ubishi, Tundu lissu ndio mpinzani mkuu wa rais Magufuli hapo 2020 na uwezo wa kushinda ni mkubwa
Kutokana na nature ya tukio alilofanyiwa TL hakika linaumiza lakini waliolifanya ndio hivyo hawajitambui, zaidi wamemjenga na kumuimarisha kisiasa kuelekea mbio za urais 2020
Lissu sasa anasikika kila kona ya nchi, kiki aliyotengenezewa na haitafutika leo wa kesho, ndivyo siasa ilivyo hivyo yaani hutegemea matukio kama kufungwa, kuishi nchi za ugenini (mkimbiz wa kisiasa) na watu wa namna hii wanaporudi nchi mwao na kuwa huru hufanikiwa sana katika siasa zao za kimapinduzi!
Get well soon TL
D.A "Mwanaume mashine"
Sio Tanzania ndugu Yangu...majitu mengi kama yamerogwa.,yaani yana macho hayaoni,yana masikio hayasikiiKitendo cha Lissu kunusulika na kusalia kuishi hapa dunia ni dhahili Mungu anamakusudi yake!
Kwa hili sasa halihitaji ubishi, Tundu lissu ndio mpinzani mkuu wa rais Magufuli hapo 2020 na uwezo wa kushinda ni mkubwa
Kutokana na nature ya tukio alilofanyiwa TL hakika linaumiza lakini waliolifanya ndio hivyo hawajitambui, zaidi wamemjenga na kumuimarisha kisiasa kuelekea mbio za urais 2020
Lissu sasa anasikika kila kona ya nchi, kiki aliyotengenezewa na haitafutika leo wa kesho, ndivyo siasa ilivyo hivyo yaani hutegemea matukio kama kufungwa, kuishi nchi za ugenini (mkimbiz wa kisiasa) na watu wa namna hii wanaporudi nchi mwao na kuwa huru hufanikiwa sana katika siasa zao za kimapinduzi!
Get well soon TL
D.A "Mwanaume mashine"
Kwahiyo sio LEMA tena?Naunga mkono hoja,Lissu ndio Mandela wa Tanzania
Lissu ndio Mtu Maarufu Africa nzima kwa sasa
CCm mmeishapanic tayari. mbona mnazuia siasa mpaka 2020 kama mnajiaminiSawa atakuwa candidate wa kugombea urahisi kwa ticket ya CHADEMA na UKAWA, kama huo umoja bado upo, lakini ushindi dhidi ya Magufuli hiyo sahau. Watanzania wameamka sana kwa hivi sasa. Asante Magufuli tunaona sasa nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi yetu. Na ni kuambie tu kwa taarifa yako inawezekana Tundu Lissu akawa mpinzani maarufu sana, lakini kuwa mpinzania maarufu hakumaanishi kuwa amepata credit na watanzania kuwa kiongozi wao. Hizo ni ndoto au ni wishes zenu wana CHADEMA. Magufuli is a big number so tu kwa watanzania bali ulimwenguni.
CHADEMA bado mna njia ndefu ya kufika huko. Uchaguzi wa 2020 msitegemee kumwangusha Magufuli. Watanzania hawatasahau mambo mazito ambayo Magufuli ameyafanya. Maamuzi mazito ambayo ame ya chukua ya kulinda rasilimali zetu hata Tundu Lissu asinge weza.
Kwa jinsi ninavyo mjua yeye anonyesha kuwa bado ni kidampa wa wazungu. Aendelee kuwasujudu hao wazungu wake. Watanzania tuna msimamo mwingine wa kifikra. Taifa letu lina thamani kubwa sana kuliko pesa za hao mutant!
Sent using Jamii Forums mobile app
ExactluNaunga Mkono 100% LISSU ni Jabali lakini Akigombea 2025 itakuwa Rahisi Zaidi Kuingia Ikulu 2020 LiPOGBA lazima Litaiba Mkuu