DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Nje ya mada
 
Wakati magufuli ananufaika na Rambirambi za waanga wa tetemeko mwana Ccm kama wewe ulinufaika na nini?
Na je gambo alivopiga za wanafunzi wewe ulipata mgao gani?
Mtatapatapa Baada ya kusomewa Albadirl.
Jielekeze kwenye hoja....inahusu manufaa/hasara za madhila ya Lissu kwa Chadema.
 
Uchambuzi mzuri.
 
Je kuhusu bashite anatolewa marinda na Johanna kumenufaisha sana kisiasa
 
Wakudadavua subiri matusi, kiukweli tukio la kujeruhiwa Tundu Lissu limewadhalaurisha Sana.
Wamepima umaarufu wao na wametambua umeshuka Sana, wanakazi ya ziada.
Sehemu wanapojitutumua ni humu jukwaani tu, kifupi 2020 wanaanguko kubwa Sana
 
Kimsingi tangu EL ahamie cdm na kuwa mgombea watu wanawatizama cdm kwa jicho la kipigaji zaidi, ndio maana hisia za upigwaji haziwatoki akilini.

Na huu ndio umekuwa mtaji wa kisiasa wa ccm baada ya cdm kujichanganya.
 

DADA KACHUKUA 7000/- KAZI UMESHAFANYA
 
Jambo la kwanza nani kakwambia macho na masikio ya watanzania wote yalikuwa Ikulu siku ile kusikiliza utumbo? Wengi sana walikuwa wanaendelea na shughuli zao kama kawaida

Pili nani kakwambia serekali yote na wabunge walikuwa Ikulu siku ile? Ulimuona DAB pale?
 
Tundu Lissu alikuwa na tabia ya kujikamatisha kwa polisi? Hebu tupe hata mfano mmoja tu unaoonyesha alijikamatisha kwa polisi, otherwise wewe utakuwa ni mpuuzi tu na itabidi nikupuuze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…