Siku Tundu Lisu aliyopigwa risasi ndiyo siku ambayo Serikali yetu pmj na Bunge lote kwa maana ya Spika na kamati yake walikuwa Ikulu Dar kupokea ripoti iliyohusu Madini yetu (Almasi, Tanzanite &Co.), hivyo masikio na macho ya Watanzania wote yalikuwa Ikulu na (kwa kawaida) Serikali yetu ilitaka iwe hivyo, lkn baada ya Tundu Lisu kupigwa risasi kila kitu kilibadilika hkn aliyesikiliza wala kujadili tena kilichoendelea Ikulu, sasa swali langu kama Serikali yetu ilihusika ni kwa nini wachague siku hiyo ambayo walitaka attention ya nchi nzima hasa kwenye hii ripoti?
Hapa ndipo wasi wasi wangu ulipo, hivyo theory/hypothesis yangu mimi ni hii, aidha waliompiga Tundu lisu risasi ni watu wa Serikali ambao walitaka kuihujumu Serikali yetu, au ni chadema au sehemu ya chadema ambao walitaka kuondoa publicity ambayo Raisi Magufuli angeipata lkn mipango yao ilivurugika na kwamba walishindwa kupanga vizuri labda walitaka kulipiga risasi gari la Tundu Lisu kama assassination attempt lkn kwa bahati mbaya hitman wao alichemka, ikumbukwe hii siyo mara ya kwanza Tundu Lisu amekuwa na tabia ya kukamatwa/kujikamatisha na Askari wetu wkt tukio fulani ambalo lingeipaisha Serikali yetu lingetokea, hapo ndipo alipoitibua Serikali ili kuhamisha mjadala.
Na siku zote Tundu Lisu alipokinukisha kwa makusudi wa kwanza kuongea huwa ni Zito Kabwe, kulaani na kwenda Mahakamani hata hili la kupigwa risasi halikuwa tofauti!
Upinzani wamekuwa na hii tabia hata Zito Kabwe alikimbia na kumwambia dereva wake aseme anatafutwa na Askari wetu akaibukia Uingereza akipiga picha na Muzungu alivyorudi akagoma kutoka Bungeni akasema anaogopa kukamatwa, najaribu tu kuunganisha matukio, kuna mengi ambayo hatuyajui na nina uhakika ndani ya chadema, upinzani na hata labda sehemu ya CCM kuna fraction ya watu wanaohusika, lkn siyo Serikali yetu, hilo haliingii akilini!
Hata kulipuliwa kwa ofisi za Immmmma, pia kulizima tuliokuwa tunayajadili, ilianza na Tundu lisu kukinukisha khs kukamatwa kwa ndege, F.Karume akaandamana, ikaja bavicha kufanya kikao kusema kuna Mtanzania anataka kumuua Tundu Lisu, ikaja kulipuliwa kwa Ofisi za immmmma, na baadaye Tundu Lisu kupigwa risasi, hivyo siamini kama hii ni bahati mbaya, ...