DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Ni Bashite, wewe ndiye bshite ni wewe
 
Hivi kweli kama waliompiga risasi Lisu ni chadema wenzie mpaka leo wasingekamatwa?!!!.. Ndani ye eneo la mawaziri kuna ulinzi masaa 24 milio ya risasi 38 isisikike kweli?!!!.. Kwanini itumike Nissan nyeupe?!!!..
 
Sababu ripoti ya bunge kwa Mara ya kwanza ilipokelewa nje ya bunge, DAB alikua Dom Ku supervise mambo
 
Mtoa mada hembu jiulize, yule jamaa kimbelembele asiekosekana kwenye hafla za Rais pale Ikulu, kwa mara ya kwanza siku ile hakuwepo, alikuwa wapi? Je, huoni kuwa inawezekana serikali ilipanga shambulio hilo siku ya hafla hiyo ili kulifunika, lakini mambo yaka backfire?
 
Siku ya tukio Lissu ulikuwa ameshaanza kazi kwanza Alianza kuuliza kwani ripoti imeenda kwa raisi kabla ya kupita mbungeni, Pia Lissu anajua sana kuhusu mambo ya madini angekosoa sana , walizani wakiziba Lissu mdomo watu wakomalia Ripoti ya madini, kumbe upepo ukahamia kwake Naukifatilia sana Lissu ulikuwa ameshasema watu wanaomfatilia sana ,Naamini wanaweza kupona nakusema tena ile ripoti ulikuwa rabbish maana anaulewa mkubwa sana wa hizi issue MTU aliyekwambia eti wakati anaongia madarakani sukari ilikuwa 5000 unaweza kumuani kweli , Time will tell
 
Hivi kweli kama waliompiga risasi Lisu ni chadema wenzie mpaka leo wasingekamatwa?!!!.. Ndani ye eneo la mawaziri kuna ulinzi masaa 24 milio ya risasi 38 isisikike kweli?!!!.. Kwanini itumike Nissan nyeupe?!!!..
kwa kuongezea Chadema wanataka uchunguzi huru,ccm hawataki uchunguzi huru nini jibu lake hapo?
 
Jamaa naona kichwa yake ni empty,raisi wa kuwait sadam hussein
 


Yaani niache kulala nisikilize utumbo wa makininikia si bora nikapige puli kuliko kusikiliza utumbo
 
Kila mtu angekuwa na mawazo km yangu thread km hizi zisingepata comment yoyote kwa mwaka mzima. Nmekoment maana nmekuta mmeshacoment
 
Swali la kujiuliza kwanini hadi leo hakuna taarifa ya kukamatwa kwa mtu anaeshukiwa suala hili, swali la kujiuliza kwanini CCM wanapinga uchunguzi huru kutoka nnje? Jambo la kuzingatia, wale wanao ituhumu serekali au CCM hawamaanishi serekali mzima, au CCM mzima. Bali ni kajikundi kadogo tu ndani ya serekali, au ndani ya CCM, ila ni wale wenye nguvu.
 
Wala Nyama wote wana sifa moja, nayo ni Ukatili, huwezi kukuta tunaokula Mboga za majani tukiuwa au kufanya ukatili wowote ule, hivyo laana ya kuchinja, kunywa Damu ya kiumbe inawaandama, mpaka muokoke na kuacha ukatili wa kuchinja Wanyama na kuwaning'iniza kwenye Mabucha bila ya huruma, laana ya kuuwana na kuchinjana bila huruma itabakia nanyi!

Acha kuuwa Wanyama na anza kula mboga ili kuondoa Ukatili Duniani!

Pinga Ukatili dhidi ya Wanyama!
 
Semeni yote lakini hamuchomoki kwa hili mliolifanya.

Mungu hadhihakiwi
 
Biblia inaruhusu ulaji wa nyama na wala hakuna laana iwayo yoyote itakayomkumba mlaji.

Labda utwambie ni Mungu yupi huyo wa kwako!
 
Una akili kama chakubanga aka polepole.
Kachukue buku saba zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…