DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Naona Albadili imeshaanza kufanya kazi waliohusika mnaanza kujitokeza wenyewe ni nani mwenye uwezo kumpiga risasi mtu mbele makazi ya viongozi waandamizi wa serikali akaondoka salama?
 
Wenye ID hizi Barbarosa GENTAMYCINE yeriko Nyerere Deo Kisandu utafikiria ni mtu mmoja. Wote uwakilishaji wao wa mawazo ni kama wako dakika ''moja mbele''!
 
Ngoja nikuambie humu ndani mina thread yako inasema lissu atauwawa.wewe unausika na mauaji ya lissu trust me.


Swissme
 
Kazi ya albadir hiyo!
 
Damu ya lisu aikumwagika bure mtaweweseka sana na bado mtajibu kwa Muumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…