DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Acheni ndoto za alinacha. Uchochezi usiokuwa na tija. Tujaribu kuwa wazalendo. Watanzania hatuna tabia hiyo PERIOD!! tungoje vyombo vyetu vituhabarishe sio kurukia treni kwa mbele.
Lini wamewahi kutuabarisha? Mawazo, Bensa8, Roma, Nape, Lisu, Azory, n.k? Wahusika hawawezi kujichunguza. Jiongeze mkuu.
 
Acheni ndoto za alinacha. Uchochezi usiokuwa na tija. Tujaribu kuwa wazalendo. Watanzania hatuna tabia hiyo PERIOD!! tungoje vyombo vyetu vituhabarishe sio kurukia treni kwa mbele.
We na jicho lako utangoja siku yakikukuta
 
We na jicho lako utangoja siku yakikukuta
Le mutuz ndiyo mratibu wa Tukio la Uvamizi wa Tundu Lisu ambapo Heri kisanduku alimtandika Risasi za kutosha lakini mpaka leo waziri jafo hajahojiwa ni kwa nini aling’oa cctv
 
Kama una tip yoyote kuhusu hao watekaji nenda polisi. Kwani umesikia Serikali imekataa kupokea tip za wananchi? Toeni funza kwenye akili zenu and stop unnecessary criticism.
Nilimwambia jamaa Fulani akanipuuza, just see , it is Thursday again

Una akili za kichawi. Itabidi tuangalie family tree yako.
 
Le mutuz ndiyo mratibu wa Tukio la Uvamizi wa Tundu Lisu ambapo Heri kisanduku alimtandika Risasi za kutosha lakini mpaka leo waziri jafo hajahojiwa ni kwa nini aling’oa cctv
Jafo au Kalemani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…