Wamefunga uchunguzi kingine ni kwamba wamtafute aliyeng'oa kamera na askari wa zamuKama una tip yoyote kuhusu hao watekaji nenda polisi. Kwani umesikia Serikali imekataa kupokea tip za wananchi? Toeni funza kwenye akili zenu and stop unnecessary criticism.
Una akili za kichawi. Itabidi tuangalie family tree yako.
na sasa tupo gizani haswaaaTunakuombea Kwa Mungu upone Mapema Mh.Tundu Lissu
Bila wewe Tanzania..tutaendelea kubakia Gizanii..
Bado tu tunaendelea kujadili habari ya kajibwa ka kizungu TL? Jamani hebu tuje na plan za maendeleo 2019Jaribio la kutaka kumwua Lissu ni jaribio baya kuratibiwa na watu wenye roho za kinyama, ni jaribio liliotia taifa aibu , ni jaribio lililomwachia ulemavu Lisuu,pamoja na Mungu kusimama na Lissu lkn bado hakuna investigation ya jambo hili!!! Tuendelee kulisemea jambo hili, nyie mlio tumwa kutoa roho ya Lissu mmeshindwa kwa sababu mipango ya Mungu ni mikubwa kuliko mipango ya nyie wauaji, Tubuni roho zenu ziwe na amani!!!
Sawa kajibwa koko ka jiwe.Bado tu tunaendelea kujadili habari ya kajibwa ka kizungu TL? Jamani hebu tuje na plan za maendeleo 2019
Tatizo Mbowe amezoea michezo hiyo sasa atatubu vipiJaribio la kutaka kumwua Lissu ni jaribio baya kuratibiwa na watu wenye roho za kinyama, ni jaribio liliotia taifa aibu , ni jaribio lililomwachia ulemavu Lisuu,pamoja na Mungu kusimama na Lissu lkn bado hakuna investigation ya jambo hili!!! Tuendelee kulisemea jambo hili, nyie mlio tumwa kutoa roho ya Lissu mmeshindwa kwa sababu mipango ya Mungu ni mikubwa kuliko mipango ya nyie wauaji, Tubuni roho zenu ziwe na amani!!!
Bado tu tunaendelea kujadili habari ya kajibwa ka kizungu TL? Jamani hebu tuje na plan za maendeleo 2019
Roho ya umauti hii juu yao laana itawatafuna sana na watoto wao wapate kuwa watoto mashoga na mateja.Alubadili ishaanza kufanya kazi kwa wahusika wote
Matusi ya nini? Huna hoja bora ufuge nywele kichwani.Bado tu tunaendelea kujadili habari ya kajibwa ka kizungu TL? Jamani hebu tuje na plan za maendeleo 2019
Waliomfanyie vile Lisu ni mashetani kabisa, zile ni tabia za kishetani kabisa, ila shetani mkubwa sio aliyetekeleza bali aliyepanga, watekelezaji wao wanaweza kuwa walikuwa wanatimiza tuu wajibu wao kwa kutekeleza amri halali.Jaribio la kutaka kumwua Lissu ni jaribio baya kuratibiwa na watu wenye roho za kinyama, ni jaribio liliotia taifa aibu , ni jaribio lililomwachia ulemavu Lisuu,pamoja na Mungu kusimama na Lissu lkn bado hakuna investigation ya jambo hili!!! Tuendelee kulisemea jambo hili, nyie mlio tumwa kutoa roho ya Lissu mmeshindwa kwa sababu mipango ya Mungu ni mikubwa kuliko mipango ya nyie wauaji, Tubuni roho zenu ziwe na amani!!!
Nasikia wengine washakuwa machizi kabisa.Alubadili ishaanza kufanya kazi kwa wahusika wote
Mwambie bashite kwa sauti asikie maana yeye ndiye kinara wa utekaji na mauaji ya awamumya tano chini jpmJaribio la kutaka kumwua Lissu ni jaribio baya kuratibiwa na watu wenye roho za kinyama, ni jaribio liliotia taifa aibu , ni jaribio lililomwachia ulemavu Lisuu,pamoja na Mungu kusimama na Lissu lkn bado hakuna investigation ya jambo hili!!! Tuendelee kulisemea jambo hili, nyie mlio tumwa kutoa roho ya Lissu mmeshindwa kwa sababu mipango ya Mungu ni mikubwa kuliko mipango ya nyie wauaji, Tubuni roho zenu ziwe na amani!!!
Mimi naona bado hata tukiwaita mashetani haitoshi kwa maana huwa najiuliza wakati wanenda kufanya vile walikuwa roho zao zilikuwa za aina gani na baada ya kufanya kitendo kile kama wana familia kama kawaida watoto na wake zetu hutupokea kwa kutupa pole na kazi baba nasi huwa tunajibu eiidha asante mara nyingi wake hutuuliza pole KWA uchovu mume wangu 'wakati umetoka kwenye tendo la kishetani ambapo shetani mwenyewe hapendi kufanya Bali anatuma mawakala wake ambao ndiyo hao mashetani'hivi vijana Wa lisu kwa kitendo cha kufanyiwa baba yao mewaza nini'weapa nini kwa kitendo kitendo kileWaliomfanyie vile Lisu ni mashetani kabisa