Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Unaweza kuthibitisha yupo?Jidanganye tuuu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuthibitisha yupo?Jidanganye tuuu.....
Hii ni ajabu sana!Mungu hayupo, ni hadithi tu imetungwa.
Ukielewa hilo, hayo mengine huwezi kushangaa.
Kwa hiyo binadamu tulikujaje Mkuu hebu tupe hints inaonekana wewe mjuaji sana
Jidanganye tuuu.....
Ligi mnayotaka kuianzisha mtaiweza lakini wakuu? [emoji23][emoji23]Hii ni ajabu sana!
Kwamba Mungu wa milele hayupo!
Lakini wewe usiye na umilele upo!
Hapana, nadhani wewe ndio haupo kabisa!
Thibitisha.Hii ni ajabu sana!
Kwamba Mungu wa milele hayupo!
Lakini wewe usiye na umilele upo!
Hapana, nadhani wewe ndio haupo kabisa!
Mkuu kifupi kirefu, it's not necessarily, waliomshambulia Lisu, wanateseka.Visasi si juu yetu bali ni juu ya mtoa pumzi.....uliumizwa Dodoma ila tambua waliokuumiza watateseka milele wawapo Dodoma au nje Dodoma.
Mjuaji sana anakuwaje?Kwa hiyo binadamu tulikujaje Mkuu hebu tupe hints inaonekana wewe mjuaji sana
Pascal sidhani kama kuna jema ambalo anaweza kulifanya muuaji ili limuondolee ubaya wake (uuaji).Mkuu kifupi kirefu, it's not necessarily, waliomshambulia Lisu, wanateseka.
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma,
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako! - JamiiForums
yaani kila mtu atalipwa kwa matendo yake. Ukitenda mema utalipwa mema. Ukitenda mabaya, utalipwa mabaya.
inawezekana kilichomkuta Lissu ni malipo ya karma ya matendo yake
Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!" - JamiiForums
Lakini pia ukitenda mabaya, halafu ukatenda mema mengi makubwa kuliko ule ubaya, mema yako yanaufuta ule ubaya, na unabarikiwa.
Pia ukiwa ni mtumishi wa mtu, boss wako akakutuma utende ubaya, ukitekeleza wewe huna kosa bali ni utii kwa bosi wako wala hiyo dhambi haikuhusu.
Hivyo kunauwezekano waliomtenda Lisu saa hizi wanakula raha mustarehe.
P
Anaropokaropoka tu hovyo kama MwehuMjuaji sana anakuwaje?
Sasa mjuaji na mwehu wapi na wapi?Anaropokaropoka tu hovyo kama Mwehu
yule muha kashasema wakimfata watakutana bwawa sijui kama ni kweli au laZitto nae kashaanza kutishiwa maisha
Ndivyo ilivyo hata sasa baada ya Mungu kumponyaLissu hajawahi kunyamaza na hatonyamazishwa kamwe .
Mpaka leo hatuwajui.Mtujuze kama ni polisi au watu wasiojulikana wamefanya mambo
Naunga mkono hojabado atabakia kuwa shujaa wa vizazi vingi vijavyo