Thubutu Mnavyopenda Sifa Angekuwa Mbowe mngemuacha??Tatizo Mbowe amezoea michezo hiyo sasa atatubu vipi
Maendeleo ya kupanga kuwaua wenzako siyo maendeleo, maendeleo halisi hayajengwe kwenye misingi ya kumwaga damu.Bado tu tunaendelea kujadili habari ya kajibwa ka kizungu TL? Jamani hebu tuje na plan za maendeleo 2019
JPM mtuhumiwa namba moja!!, Bado unatarajia uchunguzi kweli???Jaribio la kutaka kumwua Lissu ni jaribio baya kuratibiwa na watu wenye roho za kinyama, ni jaribio liliotia taifa aibu , ni jaribio lililomwachia ulemavu Lisuu,pamoja na Mungu kusimama na Lissu lkn bado hakuna investigation ya jambo hili!!! Tuendelee kulisemea jambo hili, nyie mlio tumwa kutoa roho ya Lissu mmeshindwa kwa sababu mipango ya Mungu ni mikubwa kuliko mipango ya nyie wauaji, Tubuni roho zenu ziwe na amani!!!
Waislam hua hawashindwi jamboWaislamu waliniudhi Sana kwa kushindwa kusoma Al badil
Wanafahamika, wanafahamika sana! Wasiojulikana sasa wanajulikana. Ethiopia is putting to task former secutity boses for the atrocities commited in the past regime!Jaribio la kutaka kumwua Lissu ni jaribio baya kuratibiwa na watu wenye roho za kinyama, ni jaribio liliotia taifa aibu , ni jaribio lililomwachia ulemavu Lisuu,pamoja na Mungu kusimama na Lissu lkn bado hakuna investigation ya jambo hili!!! Tuendelee kulisemea jambo hili, nyie mlio tumwa kutoa roho ya Lissu mmeshindwa kwa sababu mipango ya Mungu ni mikubwa kuliko mipango ya nyie wauaji, Tubuni roho zenu ziwe na amani!!!
Childish argumentsTatizo Mbowe amezoea michezo hiyo sasa atatubu vipi
Hiyo haitoshi,waliopanga na kuratibu nao wanatakiwa waunganishwe na hao wazembeKwani hamjasikia wameuliwa kwa uzembe kazini.
Na iwe,watesi wa lissu waendelee kuteseka,wapate magonjwa makubwa makubwa yasiyoambukiza.....hasa cancerSitakufa Bali nitaishi, ni maneno ya kiimani yanayoonyesha kwamba Mwenyenzi Mungu haziakiwi na Wala hakuna mwanadamu anayebaki salama baada ya kumwaga damu. Kama ulikuwa kiongozi wa juu lazima watakushusha na kila utakapotazama jamii utahisi Kama wamaelewa dhambi uliyoitenda.
Hata ungekuwa na Mali nyingi kiasi gani au cheo kikubwa kiasi gani bado kila kuitwapo Leo damu ya mwanadamu Italia juu yako.
Kwa waajiriwa yaani waliotumwa kuua ndo mwisho wa mafanikio yako, utabaki kuwa mlevi, mvutaji na mzinifu kuitafuta amani lakini kila utakapotulia mwenyewe na kuona picha ya ulipanga kumua lazima dishi licheze tu.
Naandika haya kuwakumbusha waliompiga Lisu Risasi na waliopanga na kuelekeza apigwe Risasi popote mlipo hayo maumivu na mikosi mnayopitia usiku na mchana ni kwa sababu ya damu isiyo na hatia mliyomwaga na milele damu hiyo itaambatana nanyi pamoja na vizazi vyenu.
Tundu Lisu kama kiumbe unayestahiki kuishi nakutakia afya njema na usisite kuomba na kumwachia Mungu.
Visasi si juu yetu bali ni juu ya mtoa pumzi.....uliumizwa Dodoma ila tambua waliokuumiza watateseka milele wawapo Dodoma au nje Dodoma.
Mungu hayupo, ni hadithi tu imetungwa.Nakubaliana na wewe. Sema tatizo Mungu hafanyi kazi kwa formula zetu sisi binadam, hebu fikiria Idd Amini, Mobutu Seseko etc walivyokuja kufa vifo bila mateso yoyote ukilinganisha na waliyoyafanya ktk tawala zao.
Pia Mzee wetu wa Zimbabwe check anavyomalizia pension pamoja na aliyomfanyia Morgan Changarai!!. World's not fair na haitakuja kuwa.
Tundu Lisu kama kiumbe unayestahiki kuishi nakutakia afya njema na usisite kuomba na kumwachia Mungu.
Jidanganye tuuu.....Mungu hayupo, ni hadithi tu imetungwa.
Ukielewa hilo, hayo mengine huwezi kushangaa.
Mbona husemi walioua askari wetu wanane nk.huko kibiti au wale hawakustahili kuishi mheshimiwa?Sitakufa Bali nitaishi, ni maneno ya kiimani yanayoonyesha kwamba Mwenyenzi Mungu haziakiwi na Wala hakuna mwanadamu anayebaki salama baada ya kumwaga damu. Kama ulikuwa kiongozi wa juu lazima watakushusha na kila utakapotazama jamii utahisi Kama wamaelewa dhambi uliyoitenda.
Hata ungekuwa na Mali nyingi kiasi gani au cheo kikubwa kiasi gani bado kila kuitwapo Leo damu ya mwanadamu Italia juu yako.
Kwa waajiriwa yaani waliotumwa kuua ndo mwisho wa mafanikio yako, utabaki kuwa mlevi, mvutaji na mzinifu kuitafuta amani lakini kila utakapotulia mwenyewe na kuona picha ya ulipanga kumua lazima dishi licheze tu.
Naandika haya kuwakumbusha waliompiga Lisu Risasi na waliopanga na kuelekeza apigwe Risasi popote mlipo hayo maumivu na mikosi mnayopitia usiku na mchana ni kwa sababu ya damu isiyo na hatia mliyomwaga na milele damu hiyo itaambatana nanyi pamoja na vizazi vyenu.
Tundu Lisu kama kiumbe unayestahiki kuishi nakutakia afya njema na usisite kuomba na kumwachia Mungu.
Visasi si juu yetu bali ni juu ya mtoa pumzi.....uliumizwa Dodoma ila tambua waliokuumiza watateseka milele wawapo Dodoma au nje Dodoma.
Kwa hiyo binadamu tulikujaje Mkuu hebu tupe hints inaonekana wewe mjuaji sanaMungu hayupo, ni hadithi tu imetungwa.
Ukielewa hilo, hayo mengine huwezi kushangaa.