DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Mungu hayupo, ni hadithi tu imetungwa.

Ukielewa hilo, hayo mengine huwezi kushangaa.
Hii ni ajabu sana!

Kwamba Mungu wa milele hayupo!
Lakini wewe usiye na umilele upo!

Hapana, nadhani wewe ndio haupo kabisa!
 
Madhalimu wanaweweseka tu, huko waliko wanashika hili halifanikiwi, wanashika lile halifanikiwi, wamepagawa, wanawayawaya!
 
Visasi si juu yetu bali ni juu ya mtoa pumzi.....uliumizwa Dodoma ila tambua waliokuumiza watateseka milele wawapo Dodoma au nje Dodoma.
Mkuu kifupi kirefu, it's not necessarily, waliomshambulia Lisu, wanateseka.

Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma,
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako! - JamiiForums
yaani kila mtu atalipwa kwa matendo yake. Ukitenda mema utalipwa mema. Ukitenda mabaya, utalipwa mabaya.

inawezekana kilichomkuta Lissu ni malipo ya karma ya matendo yake
Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!" - JamiiForums

Lakini pia ukitenda mabaya, halafu ukatenda mema mengi makubwa kuliko ule ubaya, mema yako yanaufuta ule ubaya, na unabarikiwa.

Pia ukiwa ni mtumishi wa mtu, boss wako akakutuma utende ubaya, ukitekeleza wewe huna kosa bali ni utii kwa bosi wako wala hiyo dhambi haikuhusu.

Hivyo kunauwezekano waliomtenda Lisu saa hizi wanakula raha mustarehe.

P
 
Pascal sidhani kama kuna jema ambalo anaweza kulifanya muuaji ili limuondolee ubaya wake (uuaji).

You can't take what you can't give.

I also believe in Karma (bad bitch), but kuna exceptions katika hili.
 
Mbona wewe ulipoambiwa na watu kuwa huyo mwanamke anayekuhurumiahurumia ni mama yako mzazi uliamini kabisaa!

Na huyo mwanaume anayemfatafata mama yako ni baba yako mzazi uliamini tena kwa mara nyingine ngumu zaidi.

Mbona hujatuthibitishia sisi wala wao kama kweli hao ni wazazi wako?

Mbona mimi bado ninakuamini wewe, kuwa ni kweli hao ni wazazi wako?

Hiyo imani uliyoitumia kuyaamini maneno ya wanadamu kwa nini usiitumie na kwa Neno la Mungu pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…