Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupitia Lisu,Mungu amedhihirika.
HakikaGet well soon hon. Tundu Lisu
Bado waliojaribu kumuua Lissu hawajakamatwa mpaka leo?
Kuna watu kwenye dunia hii wameumbwa bila hata kuwa na chembe ya aibu aisee..Kesho watakuwa makanisani na nyuso zilizojaa huruma na unyenyekevu.
"Wasiojulikana" bado hawajulikaniBado waliojaribu kumuua Lissu hawajakamatwa mpaka leo?
Wakisikia jina la Lissu mavi yanagonga chupiWanavaa nepi sasa hivi hawajui hatima yao Lissu akiwa Rais. Wakirudi tu kuwa Lissu ni Mkatoliki wa kweli, hawezi vinyongo na visasi.
Haihitaji akili nyingi kumjua.Mhusika anajulikana