DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Uchaguzi huu Meko anakazi kubwa ya kujieleza na kelezea faida za utekaji na uuaji mpaka wananchi wa mwelewe si leo maana wananchi wameshaona faida ya kutendewa dhuluma ni kukubalika sana kwa muda mfupi na kua shuhuda wa Mungu.
 
Ile tweet ya Magufuli kuhusu shambulio la lisu ilifutwa na nani kwenye ukurasa wa mwl John ?
 
Subiri ujue amepigwa wapi hiyo risasi pia.. na acha kusingizia mamlaka wakati unajua na yeye ni msaliti na labda tapeli kwa anaowasaidia kuiba mali za nchi yetu.. pesa kala na ugumu wa serikali unaendelea kuwanyoosha wanaompa bahasha kuvuruga..
@cocochanel
 
Leo imetimia miaka mitatu 3 kamili toka Tundu Lissu ashambuliwe kwa risasi zaidi ya 38 tarehe 7/9/2017 na watu wasiojulikana Dodoma alipokuwa anahudhuria vipindi vya bunge.

Ni faraja kubwa kuwa Mungu mwenye rehema alimlinda kwa sababu moja tu kubwa kuwa alikuwa bado na makusudi naye.

Kwa wapenda Amani na wacha Mungu wote kwa pamoja tuungane naye leo katika sala ya toba na shukrani tukimuomba Mungu ampatie maisha marefu, amjalie moyo wa rehema kwa watesi wake, awape maisha marefu ili waje waone baraka za Mungu kwake.

Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…