DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Siku ambayo tundu lisu anapigwa risasi ndiyo siku yule mtu anapokea taarifa ya tume kuhusu madini ndio siku mawaziri wawili wanajiuzulu...read btn the lines..too much of a coincidence...akili ku mkichwa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule wa Nnape kama hajakamatwa itakuwa hawa???? Uchwara at work!!!!!!! From Kigali with love.
 
Nakumbuka Chakaza ulianzisha Uzi wa Tundu Lissu kwenda Marekani ktk kongamano la mawakili duniani...nilikuonya na Uzi wako.

Haya Sasa...anyway Get well soon Tundu Lissu
 
Ben saanane connect dots Na maiti za kwenye viroba!

DJ sepetu
 
Subirini Msemaji wa jeshi la Polisi kamanda Mwakalukwa atoe taarifa rasmi za kipolisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…