DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Siku ambayo tundu lisu anapigwa risasi ndiyo siku yule mtu anapokea taarifa ya tume kuhusu madini ndio siku mawaziri wawili wanajiuzulu...read btn the lines..too much of a coincidence...akili ku mkichwa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule wa Nnape kama hajakamatwa itakuwa hawa???? Uchwara at work!!!!!!! From Kigali with love.
 
Nakumbuka Chakaza ulianzisha Uzi wa Tundu Lissu kwenda Marekani ktk kongamano la mawakili duniani...nilikuonya na Uzi wako.

Haya Sasa...anyway Get well soon Tundu Lissu
 
TL hahitaji ku-stage move ambayo ni fatal namna hii wakati ni tayari maarufu na ana pesa za kumtosha tu. Kama hii unaona ame-stage mwenyewe basi hata bomu la ofisi za IMMA pia wali-stage kina Masha. Awamu hii ni kawaida sasa, hoja wanazijibu kwa vyombo vya dola (kukamatwa au kulipua bomu ofisi au kupiga risasi mhusika)
Ben saanane connect dots Na maiti za kwenye viroba!

DJ sepetu
 
Subirini Msemaji wa jeshi la Polisi kamanda Mwakalukwa atoe taarifa rasmi za kipolisi
 
Back
Top Bottom