DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Chuki inatupeleka pabaya sana, mmefikia mahali mnataka kumuua Lissu?

Subiri ujue amepigwa wapi hiyo risasi pia.. na acha kusingizia mamlaka wakati unajua na yeye ni msaliti na labda tapeli kwa anaowasaidia kuiba mali za nchi yetu.. pesa kala na ugumu wa serikali unaendelea kuwanyoosha wanaompa bahasha kuvuruga..
 
Zitto Kabwe kaandika pia
 

Attachments

  • IMG-20170907-WA0037.jpg
    41.2 KB · Views: 126
Huko huko hosptali ndio tamaliziwa vizuri...

but nahisi hii ni kiki ya CHADEMA baada ya kuona Magufuli kawafunik na issue ya report ya bunge
 
nimesikitika sana watakuwa ni watu anaowatetea mahakamani wamemjeruhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…