DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Pameshakuwa na ugaidi tayari,hii ripoti kama tarifa hii niyakweli, hakuna haja ya kujisifu jinsi tulivyo
 
Subiri ujue amepigwa wapi hiyo risasi pia.. na acha kusingizia mamlaka wakati unajua na yeye ni msaliti na labda tapeli kwa anaowasaidia kuiba mali za nchi yetu.. pesa kala na ugumu wa serikali unaendelea kuwanyoosha wanaompa bahasha kuvuruga..
Kwani hujapata taarifa au unachagua ya kushare na sisi?
 
Pole sana Komredi Tundu Lissu, iko siku wataelewa unachopigania.
quote-better-to-die-standing-than-to-live-on-your-knees-che-guevara-92-70-93.jpg
 
Si mlisema amealikwa na wanasheria ulimwenguni huko USA?

Au hakuenda?

......
 
Hapa kunablames zinatakiwa kutupwa mahali mtengenezaji wa hii movie atakua mel gibson sio utani, walianza kuchomewa ofsi wale watetezi wa acacia leo risasi. Kuna kitu wanataka kutriger hawa watu.

Lakin tuliambiwa jamaa alitusaliti kwa wazungu, labda wazungu wanataka kupoteza ushahidi ha ha ha
 
Back
Top Bottom