DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Wakuu,

Inadaiwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma.

9f94cea0e0708e5fafb57915caf1dd27.jpg

abc21fedd617180297c6247f403b7362.jpg


Updates to follow
Ndipo tulipofikia hapa!!
 
!
!
"Alisema wakati mwingine sio vibaya kuvunja sheria za nchi". Naam wito unaitikiwa. Apate nafuu ya haraka. [HASHTAG]#vivatundulissu[/HASHTAG]
 
Ni Hatari Sana,tusifike huko......Shindanane kwa hoja lakini hiyo gari ni full tinted hauwezi kujua kama ni tundu lissue labda ni car jacking kama Luck dube.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom