Gyole
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 7,008
- 7,059
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unajishtukia?Chadema huu utoto mkawadanganye wajinga ...tunajua mnafanya huu utoto kusaka huruma na kuonesha kuwa serikali ina husika! Hili halina tofauti na yale mabomu ya Arusha!
Chadema acheni utoto
Ukikua utaachaChadema huu utoto mkawadanganye wajinga ...tunajua mnafanya huu utoto kusaka huruma na kuonesha kuwa serikali ina husika! Hili halina tofauti na yale mabomu ya Arusha!
Chadema acheni utoto
AISEE.... kama mna roho mbaya kiasi hiki, basi kweli bora twende Zimbabwe
Kama mliweza kumuonyeshea bastola Nape tena mchana adharani mnashindwa nini kumshoot Lisu?Chadema huu utoto mkawadanganye wajinga ...tunajua mnafanya huu utoto kusaka huruma na kuonesha kuwa serikali ina husika! Hili halina tofauti na yale mabomu ya Arusha!
Chadema acheni utoto
Umefanya uungwana kuomba radhiSorry mkuu maana nami ni mojawapo niliyekutukana! Samahani sana kwa hili lililotokea. Ngoja nifuatilie kwenye vyanzo vingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara hii umeshafanya uchunguzi?Lisu amejipiga risasi kutafuta umaarufu
InasikitishaaChuki inatupeleka pabaya sana, mmefikia mahali mnataka kumuua Lissu?![]()
kwa hiyo unataka afe mkuu, naona vx jeusi likiwa na tundu 2 za risasi,