DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Ahhhhh kama kweli. Basi kuna mwizi anajiibia mwenyewe LET ME TELL YOU ALL STUPID PEOPLE Who think they know the government. Kama Serikali inataka ufe huwezi kupona. Na unaweza kufa hata guest ukila mzigo kwa dawa za viagra na ukaonek umemsaliti mkeo nni. Hiyo Cinema tu.
 
Hii kiki ya kawaida sana. Kwani risasi inashindwa kumpiga au alikwepa?

Sisi macho yetu tu. Ila haitasaidia kabisa.
 
Hii ni hatari kama ni kweli kwani hakuna sababu ya kufanya hivyo. Ushauri wajibu kuwa Wana vaa bullet proof kwa usalama
 
Ni akina nani maadui wa Tindu Lissu?
......Who may want to see him dead .....
 
Tundu Lissu amemiminiwa risasi nyingi subiri mtasikia tu, jambo moja kuu ni kumuombea
Sasa mkuu si utujuze kama una habari zaidi? maana hatujui hata kaumizwa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom