DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Kwa hali iliyopo ni vizuri serikali ikampatia Lissu ulinzi..

Maadui zake wanaweza kutumia nafasi hii na mzigo wote ukasukumwa kwenye hoja ya upinzani wake!
hii ndio point ya msingi pia.
mtu yoyote,wakatik wowote,kutokea mahala popote,kwa nia yoyote anaweza kumfanyia lolote ili tuvurugane.
maana hadi sasa ukisoma, kila mmoja anamtupia lawama mwenzake badala ya kumtakia kheri.
 
Hii kama ni kweli bhasi ni wao WATAKUWA WANATENGENEZA HUU UJINGA....maana hii ndio njia mbadala kwa sasa ya kupambna na MAGUFULI.....ni kumchafua kama ambavyo walivyotengeneza ishu ya IMMA
Mkuu hakuna mtu anaye weza kucheza na risasi, hata hao ambao hiyo ndio kazi waliyoichagua wakisikia mlio hawaji kirahisi hivyo, jua kwamba ikitoka huwa hairudi nyuma
 
Scenario 1
Ukisoma tamko la Acacia la juzi Sept 4 utaona kuwa kampuni hiyo sasa inataka kurejesha uhusiano mzuri na serikali. Hata hivyo, ili mpango huu uweze kutekelezwa, lazima Acacia ihakikishe inaondoa liability; Lissu. Ni bahati mbaya ametumika bila kujua namna hawa mabeberu wanavyofanya kazi zake. Wakikuruhusu 'utazame mfalme akiwa uchi' with naked eyes, huwa unatengeneza your own liability - and they do eliminate such liabilities in their account anytime when it so dictates.

Scenario 2
Inawezekana kabisa kuna watu walinasa mawasiliano yake na walipaji kuwa wangempelekea mzigo wake. Watu wabaya wakafanya timing. Kuna haja ya kufanya thorough intel screen ya sababu ya kuwepo kwake mahali alipopigiwa risasi.

Scenario 3
Makundi yasiyofurahia kuwa overtaken na Lissu (2020 race) ndani ya Chadema. Polisi wachunguze simu na mawasiliano mengine ya Lissu kujua aliwasiliana na nani na alizungumza nini muda wa mwisho kabla ya kupigwa risasi.

Scenario 4
Lissu kwa Siasa zake ameji-expose kwa agents 'provocateur operatives'. Hawa hutumia mitafaruku katika jamii kupanga na kutekeleza mauji kwa lengo la kuchagiza vurugu katika jamii ili wafanikishe malengo yao ya kiuchumi. Kwa mfano, wakati huu nchi inapigana vita ya uchumi dhidi ya mabeberu na makampuni yao, inawezekana kabisa mabebru hao kutengeneza mazingira ya kuingiza nchi kwenye vurugu na machafuko ili serikali ishindwe kushughulikia vita ya kulinda uchumi na badala yake ielekeze nguvu zake kukabiliana na vurugu. Unaweza kuanzia hapa kufikiri motive ya Gazeti la The Washigton Post katika kadhia ya Lissu. Intel ya serikali inaweza kuchukua clue hii pia. Kwa nini matukio mengine yakitokea hapa nchini hawayatangazi promptly kama hili? There must be hidden motive, which must be established.

Tusubiri
 
Nimeshtuka sana kama vile nipo kwenye ardhi ya bongo . Get well soon learned brother
 
Yesu alikuwa mwakilishi wa Mungu lakini pamoja na superiority na uungu wake alikosolewa na hadi akateswa msalabani. Ikiwa watu wanafikia hatua ya kuua mtu ili tu kumyamazisha asiongee ukweli basi tunatoka nuruni kuingia gizani
 
Mwanasheria mkuu wa Chadema ameripotiwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana nyumbani kwake maeneo ya area C na hali ni mbanya.Taarifa hiyo imetolewa na Freeman Mbowe mwenyekitki wa Chadema taifa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20170907-WA0090.jpg
 
Picha
kwa mujibu wa hiyo picha, washambikiaji walikuwa wanajua wanacho fanya.

angalia tundu ka mwisho la risasi katika kioo cha nyuma ni usawa wa kichwa kinapo egeshwa pindi mtu mzima akaapo
ipo wap Mkuu
 
Back
Top Bottom