DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali


Unataka ujibiwe ili upate cheap popularity. Poor you
 

Bila shaka utakuwa si miongoni mwa watu wanaomjua Mungu ambao ndio wanapashwa kuomba.

No matter how you feel, no matter how it hurts you, lakini huo ndio ukweli na wajibu wa kila amwamiye Mungu. Si kama jnisi utakavyo bali neno la Mungu liko imara.

Usinichukie mimi sijampiga Tundu Lisu na wala sijawaumba wauaji. Sote tunalia ila kwa namna tofauti.
 
Aiseehh watamuua uyu jamaa, awe mwangalifu, ...akipona hapa atulie kabisa,
 
Hivi yule mkoa fulani hivi, aah nimekumbuka Mara alikujaga juu walimfanyaje kweli! Ukiwa hutokei Ile kanda basi unajisumbua kutunisha misuli! Ila very sad!

SIJUI KESHO.
Are you sure!? Haya maneno yako ni ya kujenga chuki na kukomoa Ila kwa Mungu kila goti litapigwa. Unawezaje kumwaga petrol kwenye moto unaowaka ili hali zote tunapigania kuuzima!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeongea na Dodoma Regional Referral hospital muda si mrefu ndiyo ameingizwa chumba cha upasuaji kwa Huduma za zaidi kuokoa maisha tusubiri yatakayojiri ila team ya madaktari na nurses na wengine wako busy kuhakikisha wanaokoa maisha ya Tundu Lissu.

Maombi yenu muhimu wana JF.
 
Mosi, Namuombea Lissu apone, maana ni mtu mhimu kwa taifa kuliko wengi sana hapa nchini wenye madaraka.

Pili, yote yanawezekana. Usimpuuze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Our Our god is good mh. Lissu anaendelea vizur...tuzid kumuombea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…