DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Are you sure!? Haya maneno yako ni ya kujenga chuki na kukomoa Ila kwa Mungu kila goti litapigwa. Unawezaje kumwaga petrol kwenye moto unaowaka ili hali zote tunapigania kuuzima!???

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikuwa nawaza tu Kwa mwandishi kuwa ukitaka kuvuma kwenye kile chama basi lazima uwe na uhusiano au uwe unatokea kanda Ile.

SIJUI KESHO.
 
Nakumbuka Lisu alisema anakuja na hoja binafsi kukamatwa kwa bombardier kujadiliwe bungeni anyway ngoja Niendele kumwombea uzima Lisu .Mungu mponye ndugu yetu Lisu .Amina
 
Mungu upo wapi ,tuone sie wanao tunaangamia kwa kukoswa maarifa

susi eiluma mwene bhulili
 
Get well soon our MP.

"the highest risk shoud give the maximum profit"
 
Hakuna shida kwakua wanamuita nabii hata akifa atafufuka na atapaa ataendelea kuwasaidia maana nashangaa tangu lini mbunge akaongoza nchi nzima
 
Mbunge wa Rombo ndugu Joseph Selasini amesema kuwa hali ya mbunge mwenzake Tundu Lissu inaendelea vizuri baada ya kupigwa risasi mguuni, mkononi na tumboni. Daktari amethibitisha.

Lissu ameshambuliwa kwa risasi mapema leo na watu wasiojulikana.
 
Back
Top Bottom