Wao ndio watu wasiojulikana wanaofanya matukio ya kihalifu? Hivi mh. TL aliposema anafuatiliwa na vyombo ya dola katika nyendo zake alimaanisha nini? Tukiunganisha dots kuna majibu mengi...
Tundu Lissu adai kufuatiliwa na Idara ya Usalama wa Taifa wiki tatu mfululizo
mkuu sitaki hata kusikia na kuona neno polisiMbunge Tundu Lissu ameshambuliwa na risasi maeneo ya tumboni na mguuni. Daktari na Jeshi la Polisi wamethibitisha kuwa bado yu hai.
Mimi nilikuwa nawaza tu Kwa mwandishi kuwa ukitaka kuvuma kwenye kile chama basi lazima uwe na uhusiano au uwe unatokea kanda Ile.Are you sure!? Haya maneno yako ni ya kujenga chuki na kukomoa Ila kwa Mungu kila goti litapigwa. Unawezaje kumwaga petrol kwenye moto unaowaka ili hali zote tunapigania kuuzima!???
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetizama picha. Gari lina matundu si chini ya ishirini ya risasi. Sina shaka walitaka kumuuwa.Risasi 5 ndo kakutwa nazo????!!!!!Aisee Mungu wetu,Mungu wa mbinguni wewe wajua bwana.
CHADEMA mkimbizeni Nairobi huyu mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mini kinachokupa sababu ya kusema hivi.Naona nduli idd amin akionyesha rangi yake kamili
Akili za makinikia haijawahi kuwaacha watu salamaSasa mkimshidwa MTU ndio mnataka kumuua do
Sent using Iphone 7+
Mbunge Tundu Lissu ameshambuliwa na risasi maeneo ya tumboni na mguuni. Daktari na Jeshi la Polisi wamethibitisha kuwa bado yu hai.
ndiyomchana kweupe na SMG. Hivi kuna raia wanamiliki SMG
Kwa hiyo ni Mungu aliyeagiza hayo?juzi si mlikuwa mnasema wale wa cuf rot n hell???
Mungu ni yule yule, hadhihakiwi!!