DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali


Kiukweli mimi sijakuelewa hata umeandika nini, ila nikusahihishe tu hiyo report ni ya kamati ya Bunge,anachokifanya Rais hakuna anekipinga sote tunajua jinsi hii nchi ilivyotafunwa, tumuombee mwenzetu apate afya njema.

ila ningeshauri ukae kimya tuache vyombo vya usalama vifanye kazi kubaini nini hasa kimetokea.
 
Kuanzia leo ninaacha kuchangia mada zinazohusu serikali.
Hta mimi nilpopata habari hii nilifikiria nifanye ivyo. Ila nikawaza. Kama wote tukikaa kimya tutafanywaje.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Naona press statement iko kwa lugha mbili(Swahili&English) ili na wenzetu waeleweπŸ˜€πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜›.
 
Eeeeeeehhhh Mungu wangu nakuomba umnusuru kaka yangu Tundu Lissu.......... Kwa jina la YESU nakuomba Amen

Nyakageni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…