Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Tusifanye mambo kwa kuhisi kumbuka Tundu lisu ameonyesha nia ya kugombea uenyekiti wa chama hivyo anaweza kuwa na maadui mpaka ndani ya chama
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana ikawa watu wapo katika mstari sahihi usio sahihi huku wakijiaminisha na kutaka kuaminisha wengine kuwa huo ndio mstari sahihi ilhali umepinda.
Majibu ya hoja yanapokosekana mambo mawili hujitokeza:
1. Matusi
2. Mabavu
Kama huyo Cocochannel ana vielelezo apeleke polisi. Hana yafaa ayaache.Cocochannel ni wewe umeandika hivi?
Huyo mwanamke ni mchumia tumbo achana nayeKwani hujapata taarifa au unachagua ya kushare na sisi?
sasa ndio umeandika nini hapo wewe Kibuyu...mkuu husomagi hata vitabu, upanue hiyo akili yako. soma ata confession of economic hitman, trade is war , kidogo vitakusaidia kurush into judgements ata ukiamua kurush kuwa na zaidi ya hypothesis mbili , mimihyo uliyoquote ni one of my hypothesis, nnao nyingine ile ningeandika hile kidogo mtu kama wewe usingeelewa kwa sababu ya mihemko, pengine niko sawa huwezi jua?
Ili meseji yako i sound better, toa picha hiyo kwenye Avatar yakoBad News get well soon Tundu Lissu a true hero Of our country