DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Emancipate your self,mental slavery
None but ourselves can free our minds
Have no fear for atomic energy
Cause none of them can stop the time
How long shall kill our prophet
While we stand aside and look

Some say it's just a part of it
We've got to fulfill the book

Mapinduzi husubiriwa kwa miaka mingi lakini huchukua angalau dakika tano tu kuwaondoa watawala dhalimu

Don't die Tundu lissu



mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Tusifanye mambo kwa kuhisi kumbuka Tundu lisu ameonyesha nia ya kugombea uenyekiti wa chama hivyo anaweza kuwa na maadui mpaka ndani ya chama

Sent using Jamii Forums mobile app

Unakataza tusi hisi wakati na wewe unaleta hisia. Bora hata hizo hisia za hao wengine zina ashiria uhalisi. Huyu mtu alishasema hadharani kuna watu wana mfuatilia na hatukusikia wakanushe.
 
MUNGU NAOMBA UFANYE MIUJIZA YOTE UMPONYE HARAKA HUYU LULU YETU, Walaaniwe milele wauaji wale, WAGANGA WA KIENYEJI FANYENI YENU HAO WAUAJI WAVUE NGUO WAKATE VIUNO WEAK WA UCHI NA SILAHA ZAO, wapumbavu hawa
 
Inawezekana ikawa watu wapo katika mstari sahihi usio sahihi huku wakijiaminisha na kutaka kuaminisha wengine kuwa huo ndio mstari sahihi ilhali umepinda.
Majibu ya hoja yanapokosekana mambo mawili hujitokeza:
1. Matusi
2. Mabavu

Kweli mkuu naona tunataka kuwapoteza wanaotupa changamoto tunataka kuongoza vibogoyo LISSU NA KIBATALA yafaa Taifa lijivunie ajabu wanatengwa wakat wanawapa changamoto wanasheria wa serikali.
 
Hiii seres ilibid iwe ivi maaana jamaa alichokisema ndio kinawarudia!! Kuna watu kauli zao zimechochea hii hali kuwepo, na wanajulikana!!!
 
Kama wanaufanya hivi mti Mbichi vipi kwa uliokauka ni maneno ya Yesu Kristo.

Ni wakati sasa wa kuheshimu mamlaka na kujua hatuko huru to that extent ya kuropoka tu.

Sasa wewe mwanaharakati jiulize kama tundu lisu kapewa onyo hilo wewe utafanywa nini?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
S
mkuu husomagi hata vitabu, upanue hiyo akili yako. soma ata confession of economic hitman, trade is war , kidogo vitakusaidia kurush into judgements ata ukiamua kurush kuwa na zaidi ya hypothesis mbili , mimihyo uliyoquote ni one of my hypothesis, nnao nyingine ile ningeandika hile kidogo mtu kama wewe usingeelewa kwa sababu ya mihemko, pengine niko sawa huwezi jua?
sasa ndio umeandika nini hapo wewe Kibuyu...
 
Akipona ni bahati! Yeyote aliyehusika kwa namna yoyote ile bila kujali nafasi yake katika jamii na au serikali atalipwa na Mungu hapa hapa!

Ila tunaweza kujiuliza: ni nani anayeweza kuwa na nia au haja ya kumdhuru TAL? Lazima awe ni yule anayemchukia au kumwogopa sana mwanasheria huyu nguli! Iko siku ukweli utadhihirika udhslimu na wadhalimu watakomeshwa.

"The greatness of any nation lies in its fidelity to the constitution and strict adherence to the rule of law and above all respect to God" - CJ David Maraga
 
Back
Top Bottom