DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Wangempeleka Nairobi,

sasa huyu lisu naye hajifunzi tangu anaanza kufuatilia alikuwa hajaweka mechanisim ya kumlinda?.
Huo ni uzembe mkubwa sana utakaomcost maisha yake
 
U

Kitu gani mekufurahisha hapa .
 
Kwahiyo Mtakatifu mkulu ameyafanya haya..hataki kukosolewa..Nawaza tuu..
 
Aiseee tumefika huku kweli??? Aiseeee au ndo utekelezaji wa afadhali kuvunja Sheria?
 
Pia wamagharibi ndio wanaoteka wasanii
Ndio wanaovamia vituo vya habari
Ndio wanaobomolea watu nyumba kinyume cha sheria
Ndio wanaotesa matajiri kisa waliunga mkono wapinzani
Ndio wanaosema watawashughulikia wapinzani
Hawa watetezi wa CCMScrow huwa ni MAZUZU. Magoigoi.
 
Tatizo hapa ni hao watu wasiojulikana, kila tukio kubwa linafanywa na watu wasiojulikana, yaaani ni "Tanzania pekeee"
 
Walizuga kupokea taarifa ili hili tukio la kumpiga Lisu risasi likitokea lisivume sana kumbe tukio la Lisu limepoteza kabisa habari yao ya almasi na Tanzanite, hakuna jambo baya kama unafiki..
 
serkali ya wanyonge

mfano wa magu kuwa tupo vitani now nimeelewa

wamama ficheni watoto kwa mashimo hii vita kali

idd amini karudi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…