DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Mambo ya kutaka kuuana tena kisa saisa?watz kazi tunayo
 
Sizonje amefikia huku?? Mbaya zaidi siasa sio uadui kiasi hiki kumuua mwenzako! Yeye ndio ataishi milele??
 
Ahsante kwa taarifa....TUNAMUOMBEA SANA Mh-LISU
 
Walianza na Ben na sasa ni zamu ya Tundu. Hatuko salama
 
NIMESOMA HII HABARI KARIBU MARA 10, LAKINI NAONA NI MOVIE, NTAKUJA KUSOMA TENA BAADAYE

HAYA KWELI YANATOKEA TZ? HV GHARAMA YA KUIREJESHA AMANI KATIKA NCH WANAIJUA?

WAKAULIZE SOMALIA, SUDAN, LIBYA, N.K. WANAHANGAIKA USKU NA MCHANA KUREJESHA AMAN LAKN IMESHNDIKANA.



MAGAZETI YA KESHO HAYATAKUWA NA MAKINIKIA TENA, NI KUPGWA RISASI LISU

YANI MTU ANALIFUATILI GARI, ANASHUKA, ANARUSHA RISASI ATAKAVYO, TENA MCHANA KWEUPE, TENA MAZINGIRA YA BUNGE.. HII BALAA ASEH, NI ZAIDI YA VITISHO.
 
Mkuu nimepoteza ujasiri kwa sasa,sijui lipi la kusema,Tuombe MUNGU amponye
 
A DARK DAY TO THE DEMOCRACY AND FREEDOM OF SPEECH IN TANZANIA AND AFRICA AT LARGE IF NOT THE WORLD.

STAY STRONG COMRADE AND HOLD TIGHT, WE STILL NEED YOU.

MY PRAYER ARE WITH YOU AND YOUR BELOVED FAMILY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…