faru joni
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 478
- 734
I feeel very pain.......bora bora mniuwe mkanitupe daraja la mkapa...kamwe sitafunga mdomo wangu kunyamazia haki yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msomeni huyo, muelewe kilichoandikwa then muunganishe nukta.
Sio muda wake huu maana hata wwchujawahi mwambia awe na ulinzi ningejua uja mwisho wa safarWangempeleka Nairobi,
sasa huyu lisu naye hajifunzi tangu anaanza kufuatilia alikuwa hajaweka mechanisim ya kumlinda?.
Huo ni uzembe mkubwa sana utakaomcost maisha yake
Wale wasiojulikana kama kawaida.Mtujuze kama ni polisi au watu wasiojulikana wamefanya mambo
Halafu yanatetea mpka penye ukweli peupeHawa watetezi wa CCMScrow huwa ni MAZUZU. Magoigoi.
Duh, yaani unajikana hivi hivi.Sina chama First. Ila kama uchwara anajifanya MBABE kweli..aende akamguse MTEMI CHENGE aone kama hajarudi uko KOROMIJE..
Kwanza Mtemi heavyweight akamguse LUGUMI ndo size yake yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli chakumuombea apone hayo mengine tutangalia baadae.Sio muda wake huu maana hata wwchujawahi mwambia awe na ulinzi ningejua uja mwisho wa safar
Sent using Jamii Forums mobile app
You're not alone Mkuu. Many Tanzanians are and some are crying right now for what is going on in our beloved country. Wangemsikiliza Janeth Magufuli nchi yetu ingenusurika na mengi ya huyu nduli na dikteta uchwara. Kwanza kapotea Ben Saanane. Roma naye ilikuwa apotee sasa labda tunampoteza Kamanda Lissu kwa chuki tu za kutisha za kutaka kung'ang'ania madarakani.

Mkuu nimepoteza ujasiri kwa sasa,sijui lipi la kusema,Tuombe MUNGU amponyeYou're not alone Mkuu. Many Tanzanians are and some are crying right now for what is going on in our beloved country. Wangemsikiliza Janeth Magufuli nchi yetu ingenusurika na mengi ya huyu nduli na dikteta uchwara. Kwanza kapotea Ben Saanane. Roma naye ilikuwa apotee sasa labda tunampoteza Kamanda Lissu kwa chuki tu za kutisha za kutaka kung'ang'ania madarakani.