Pia wamagharibi ndio wanaoteka wasanii
Ndio wanaovamia vituo vya habari
Ndio wanaobomolea watu nyumba kinyume cha sheria
Ndio wanaotesa matajiri kisa waliunga mkono wapinzani
Ndio wanaosema watawashughulikia wapinzani
Wapi watu wamebomolewa bila kufuata sheria ??.
Kuwabana wafanyabishara kisa waliunga mkono upinzani , Sio kweli ,,ISIPOKUA hao wafanya biashara wako walizoea kufanya biashara kinyume nasheria ,,ukwepaj kodi , MTU anadaiwa mabilion ya pesa ,,,Leo unaambiwa lipa, unahisi MTU huyu ataionaje Serikali???
Kuhusu vyombo vya habari,,, Ujana ni maji yamoto . nahili msilichanganye na serikali .....Ndio Rais alikua anauwezo wa kumwadhibu RC ,,lkn naye nibinadam ,,unatwgemea hatima yake nje ya u RC ingekuaji ili hali keshawatibua wauza unga ?????
Kuhusu kuteka wasanii.... Siwezi kulijibu maana hata alotekwa hajawahi semwa alitekwa na nani.