Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Nena kamuulize huko hospitali.aliutumia wapi vibaya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nena kamuulize huko hospitali.aliutumia wapi vibaya?
Wapi watu wamebomolewa bila kufuata sheria ??.Pia wamagharibi ndio wanaoteka wasanii
Ndio wanaovamia vituo vya habari
Ndio wanaobomolea watu nyumba kinyume cha sheria
Ndio wanaotesa matajiri kisa waliunga mkono wapinzani
Ndio wanaosema watawashughulikia wapinzani
Hata wewe unahisi kwa hiyo usiwalazimishe watu cha kuhisi!Tusifanye mambo kwa kuhisi kumbuka Tundu lisu ameonyesha nia ya kugombea uenyekiti wa chama hivyo anaweza kuwa na maadui mpaka ndani ya chama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukiunganisha matukio ya ajabu ambayo yametokea tokea awamu hii ianze ndio utajua tuna kiongozi wa aina gani..hSawasawa lkn hata wakimuua haitawasaidia kujitakasa. Of course the motive is open but this will not help them
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hawa watu wasiojulikana wamekuja awamu hii ya 5Tatizo hapa ni hao watu wasiojulikana, kila tukio kubwa linafanywa na watu wasiojulikana, yaaani ni "Tanzania pekeee"
Why can't gaganchuan mind analyse?Small minded people,drop this shit,