DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ameruhusiwa kutoka chumba cha upasuaji akiwa na fahamu na sasa anapelekwa Nairobi nchini Kenya kwa matibabu zaidi.
======
Taarifa zote za uhakika tutakuwa tunazitoa kila baada ya muda mfupi
Sasa si wapinzani wanalalamika viongozi kutibiwa nje ya nchi. Imekuweje tena?
 
WATU WASIOJULIKANA

I CRY FOR MY COUNTRY LINI HAWA WATU WATAJULIKANA?
 
Amina
 
Aaaarrrrghhh.. Hawa CCM ipo siku yao

Asifiwe Bwana Mungu wa Israel Aliye Mwenye Nguvu na Mwenye Utukufu Mwingi sana!

Yeye pekee ndiye awezaye kuchukua uhai wa mtu, Asifiwe Mungu Mwenyezi Mtakatifu wa Watakatifu milele Amina!

hakika yeye ndiye Mlinzi na Mtetezi wa wanyonge!

Sent using North Korean Hydrogen Bomb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…