Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si wapinzani wanalalamika viongozi kutibiwa nje ya nchi. Imekuweje tena?Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ameruhusiwa kutoka chumba cha upasuaji akiwa na fahamu na sasa anapelekwa Nairobi nchini Kenya kwa matibabu zaidi.
======
Taarifa zote za uhakika tutakuwa tunazitoa kila baada ya muda mfupi
Utafuatia wewe. Ni rahisi tu kikuweka kwenye flush diskWatu wasiojulikana wapo magogoni., bosi wao anawajua.
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Anatafuta kiki tu huyo
Anafikiri ndo namna ya kuzima nyota ya Magu[/
Seti tupu.
Amina.Zaburi 34:19 Mateso ya mwenye haki ni mengi,Lakini BWANA humponya nayo yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww pia ni mtu asiyejulikanaHao "Watu wasiojulikana" ndo akina nani?!! Mi najua ndo walioBomb Imma Advocates, ndo waliomteka ROMA na ndo waliompiga risasi Mh. Tindu Lissu.
Hao ndo watu wasiojulikana. Naomba kuwasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
AminaSina hakika if this is coicindence ama vipi.....
Ikulu kulikuwa na usanii uleule tuliouzoea kila wakati wa serikali hii wa kupokea wanachokiita taarifa za uchunguzi wa wizi wa madini ya almasi na tanzanite toka kwa wawekezaji ambao walisainishwa mikataba na hawahawa CCM wanaojifanya kulia lia leo .....
At the same time mtu ambaye ni kama ndiye kama kiongozi wetu ktk kutuamusha na kutushtua kuwa tunaendelea kufanyiwa usanii Tundu Lissu, anapigwa risasi ktk jaribio la kutaka kumuua.....!!!
Wamejaribu kumpakazia kila aina ya vijikesi vya kijinga jinga ili wamfunge jela kama njia ya kumnyamazisha, wameshindwa. Sasa the best option walioona inafaa kuendelea kuficha madhambi yao ni kumuua kabisa huyu ndugu yetu....!!
Kwa namna yoyote hili halikubaliki na tunalilaani tukio hili la kijinga kwa nguvu zoote....
Tushindaneni kwa nguvu za hoja na si kuanza kutoana uhai...
Hili kwa kweli ni hapana, halikubaliki hata Kidogo!!!
Tundu Lissu, kamanda wetu, Mungu wa mbinguni muumba wa mbingu na nchi akusaidie na kukuokoa kutoka ktk mauti ya kutengenezwa na wakola hawa....!!!
Utapona kamanda na mapambano yataendelea hadi wakoloni hawa weusi chini ya Chama Cha Makinikia - CCM watakaponyoosha mikono yao juu ku - surrender...!!
Kwani kuna mwanachadema yeyote aliyetajwa na hiyo ripoti? Au mruma ni gwanda?Huko huko hosptali ndio tamaliziwa vizuri...
but nahisi hii ni kiki ya CHADEMA baada ya kuona Magufuli kawafunik na issue ya report ya bunge