kwasababu zake na faida yake binafsi ..et sababu tu ninguli washeria ,, wakati ndio maana nahisi hata hizi sheria zetu nizakipuuzi kabisaaaaa .lisu huwa ni mkweli..na ukweli ndio umemfikisha hapa
AminaKutoka 23:26 Hapatakua na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa ktk nchi yako na hesabu ya siku zako nitaitimiza!
Bwana Yesu ninakuomba asiwepo yeyote atakayezikatisha hesabu ya miaka yake hapa dunia katika jina la Yesu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umehusika unajisikiaje sasa? Unaposoma huzuni na masikitiko ya watanzania unajisikiaje? Maumivu uliyosababisha yanakupa faraja gani?Sasa si wapinzani wanalalamika viongozi kutibiwa nje ya nchi. Imekuweje tena?
Sawa mkuu..sasa si ndio mnaelekea kumuua??? umefurahi sasa? viwanda vimeongezeka?kwasababu zake na faida yake binafsi ..et sababu tu ninguli washeria ,, wakati ndio maana nahisi hata hizi sheria zetu nizakipuuzi kabisaaaaa .
Tundu lissu ,angekua CHINA TAYARI ANGEKUA AMENYONGWA .NAHUO NDO UKWELI.
N.B SISHABIKII TUKIO LILOMPATA MAANA NJE YASIASA NIBABA ANAMKE NAWATOTO NANDUGU.
Kwani dodoma wameshindwa kummaliza? Acha fikra mbovu. Au huko Nairobi watashindwa? Aina nani kwanza...Muhimbili ni rahisi kummaliza maana motive yao asiende marekani kule alikoalikwa. But as far as God is concerned He will protect him because as from now the angels are surrounding him
Sent using Jamii Forums mobile app
.Zaburi 34:19 Mateso ya mwenye haki ni mengi,Lakini BWANA humponya nayo yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
You're simply a walking dead bodyMkuu nilazima tujifute matope ya unafiki ktk nyuso zetu.....Tundu lissu ivi anatetea taifa au nayeye anatumika kuliumiza taifa ??? Sindo huyu aliomba tuwekewe vikwazo mpaka zito naye aka mkrash ??????
N.b sishabikii tukio lilompata lissu et sababu ni mpinzani wakila kitu chaserikali... Maana nje yasiasa naye anatwgemewa namkewe.,watoto nandugu.