Hii nchi tunakoelekea sio kuzuri. Yaani mtanzania mwenzetu anashambuliwa kwa risasi then watu wengine wanakosa utu na kuendekeza chuki za kisiasa au kimtazamo kushangilia au kuandika comments za ajabu ajabu.
Hebu tujitathmini na kujiuliza aliyepigwa risasi angekuwa ni mzazi au ndugu wa karibu ungejisikiaje kuona watu wanashangilia au wanatoa comments chafu baada ya jaribio la kumuua.
Hii sio nchi tuliyoizoea toka enzi za waasisi wetu, hata kama kuna mambo huyapendi toka kwake.. Mungu na atusaidie tubadilike na kuhubiri upendo na amani.