DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Hii nchi tunakoelekea sio kuzuri. Yaani mtanzania mwenzetu anashambuliwa kwa risasi then watu wengine wanakosa utu na kuendekeza chuki za kisiasa au kimtazamo kushangilia au kuandika comments za ajabu ajabu.

Hebu tujitathmini na kujiuliza aliyepigwa risasi angekuwa ni mzazi au ndugu wa karibu ungejisikiaje kuona watu wanashangilia au wanatoa comments chafu baada ya jaribio la kumuua.

Hii sio nchi tuliyoizoea toka enzi za waasisi wetu, hata kama kuna mambo huyapendi toka kwake.. Mungu na atusaidie tubadilike na kuhubiri upendo na amani.
watu wote hawawezi kuwa sawa, ni nguu sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi karibuni tumeshuhudia mashambulizi katika ofisi za IMMA kwa mashambulio ya mabomu washambuliaji hawajakamatwa. Leo tena tumearifiwa kupigwa risasi kwa Tundu Lissu.

Mashambulio yote yanalenga wanasheria na watu wanaosaidiana katika kesi zao.

Nani yuko nyuma ya haya mambo? Kwa nini sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WA TZ. WOTE KWA PAMOJA BILA KUJALI TOFAUTI YA VYAMA VYETU,DINI ZETU,TUMWOMBE MUNGU KWA BIDII SANA ILI ATENDE MUJIZA MKUBWA KWA AJILI YA KAKA YETU NDUGU YETU KIONGOZI WETU MPIGANAJI WETU NA MSEMAJI WETU AWEZE KUPONA NA KURUDI KATIKA HALI YAKE YA KAWAIDA. MIMI MWENYEWE NIMESHTUKA SANA NA NIMESIKITIKA SANA NA NIMEUMIA SANA KWA TUKIO HILI LILILOMPATA MPIGAJI WETU NA MSEMAJI WETU. LAKINI NAPATA TUMAINI KWA KUWA NAJUA MUNGU ANA UWEZO WOTE AN NGUVU ZOTE NA ANA MAMLAKA YOTE TUKIMWOMBA KWA.BIDII KUANZIA SASA,BASI MUNGU ATAMPONYA KABISA NA ATARUDI KATIKA HALI YAKE YA KWAIDA. ASANTENI SANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa Mkuu kauli zake huyu zilizojaa chuki za kutisha dhidi ya wapinzani na sasa kuanza kuigwa na baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya ni hatari sana kwa mshikamano wa Taifa. Akemee mara moja hizi chuki anazoeneza nchini kwa kasi ya kutisha.
Na kama hajui sio anatatua tatizo ila wanamuahalibia zaidi.wasifikili wanaofanya hivyo wanapenda,wanatekeleza amli tu!!
 
Japo tunatofautiana kwa hoja ila nakutakia upone haraka.

Addition point.


Mwl Nyerere aliwahi sema "mtapata watetezi wa mabepari humu humu"

Jioni tulivu kabisa[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom