watu wote hawawezi kuwa sawa, ni nguu sana!Hii nchi tunakoelekea sio kuzuri. Yaani mtanzania mwenzetu anashambuliwa kwa risasi then watu wengine wanakosa utu na kuendekeza chuki za kisiasa au kimtazamo kushangilia au kuandika comments za ajabu ajabu.
Hebu tujitathmini na kujiuliza aliyepigwa risasi angekuwa ni mzazi au ndugu wa karibu ungejisikiaje kuona watu wanashangilia au wanatoa comments chafu baada ya jaribio la kumuua.
Hii sio nchi tuliyoizoea toka enzi za waasisi wetu, hata kama kuna mambo huyapendi toka kwake.. Mungu na atusaidie tubadilike na kuhubiri upendo na amani.
Wewe na anayewapa kichwa asiyependa kukosolewa."mtapata" akina nani hao?
Akipona aelekee Marekani kwenye mkutano wa wanasheria wakongwekule si .. khe apone haraka
Hii ni lugha ya wahuni wa bavicha. Hainisumbui.Labda mama yako alikuokota makaburini kama msukule.wooote tunasikitika hata uchwara nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kama hajui sio anatatua tatizo ila wanamuahalibia zaidi.wasifikili wanaofanya hivyo wanapenda,wanatekeleza amli tu!!Kabisa Mkuu kauli zake huyu zilizojaa chuki za kutisha dhidi ya wapinzani na sasa kuanza kuigwa na baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya ni hatari sana kwa mshikamano wa Taifa. Akemee mara moja hizi chuki anazoeneza nchini kwa kasi ya kutisha.
Tundu Lissu amepelekwa Nairobi huku akitoka chumba cha upasuaji mjini Dodoma akiwa ana fahamu!
Mkuu nikumbushe jina la hiyo katuni iliyoko kwenye avatar yako kama unakumbuka.tumeambiwa muhimbili mara hii ghafla anapelekwa nairobi tena...anyway tunamuombea ahueni naimani Mungu ataeka mkono wake