DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

lissu kwa sasa ndo alikuwa mpinzani pekee aliyejitoa muhanga kuwatetea watanzania. poleni sana wanasingida.
 
Well, I don't know what will happen now. We've got some difficult days ahead. But it really doesn't matter with me now, because I've been to the mountaintop.

And I don't mind.

Like anybody, I would like to live a long life. Longevity has its place. But I'm not concerned about that now. I just want to do God's will. And He's allowed me to go up to the mountain. And I've looked over. And I've seen the Promised Land. I may not get there with you. But I want you to know tonight, that we, as a people, will get to the promised land! Dr. Martin Luther King Jr
 
Karibuni kwa kuni quote humu..

Mnapenda sana kubwabwaja na kiwaga na maneno makali kwa serikali yetu na hampendi kuambiwa ukweli.. ukweli ndio huo na mamlaka waanze kuwachunguza chama cha Chadema na UKAWA.. waende pia kwa wenzake TLS.. lazima kuna wanaojua lililojiri kiundani na mpango gani haukwenda kama ulivyopangwa..

Pia kuna watu wanajua anapokea pesa za malipo ya kuharibu ya serikali nao waojiwe sababu ni wenzake..

Leo Raisi ameongelea kujua mengi pia kwa upande wa mali za Taifa na jambo hili limewaohopesha wengi wahuni, wasaliti na waliojaa tamaa.

Wengi wanajua Mkulu anayajua yote na sasa ni wanataka kutafuta kisingizio hiki kuleta haya mnayodai kuwa ni watawala wanahusika..

Tabu yenu wengi nyie hamjui kukaa na kufikiria.. mnajua kuisema vibaya serikali na hata Raisi mkipata mwanya... sasa ya huyu Lissu mnona mnaweweseka na kutaka kuonyesha mna rojo nzuri wakati tumezoea kuwasoma humu na wenzenu wengiiii.. mmejaa maneno machafu sana wengi wemu pia.

Sasa leo ripoti na uamuzi wa Raisi umewaacha hoi.. mnakuja huku kunidandia kama vile hamjaona wengine wanaosema kuwa ni mipango ya ndani.

Nasema tena mamlaka ianze na hao hao wanaohusika maishani na Lissu nae akipona ahojiwe aseme ukweli na achunguzwe kwanini majambo yake na labda kula pesa za watu wanaomtuma avuruge ya serikali..

Wote tusubiri upelelezi uanze na ukweli utoke.. tena nitafurahi kuona JPM anatoboa siri za wasaliti wa nchi yetu..

Mnajua kuwa serikali hawawezi kuwa wajinga kutenda haya mnayokuwa mnasubiri kuyaona bali wenzenu hao mnaowasjangilia ndio wanajua zaidi.. bila kusahau anavyopenda kutaka kuwa juu zaidi ya wakuu wa Chadema wanavyotaka.. muanze kuulizana nyie mnaopenda kuisingizia serikali kwanza nini kimo ndani ya chumba mlichomo wote.

Hii sasa mtauona ukweli na kukimbia ma kujionea aibu kubwaaaa... haya ya kupangwa na kutendwa na wenyewe.. ila pia labda maagizo yameenda mbali hawakuelewa ni kupiga gari tu.. wakaamua kutaka kummaliza..

Mnaonitukana hayo mtakiwa mmejifunza mlipolelewa ndipo mnaona wa hivyo.

Tunamuombea apone ili ahojiwe na mengine kutendwa juu yake ili tujue ukweli sasa...Serikali inaoenda wananchi wake wote bali upinzani wamezidi sasa na Lissu anajua kuwa anavuka mipaka na hii inaonyesha kuwa hata ile ya bomu alishushuka.. na sasa ya mwenyewe pia hii itakuwa aibu kwake na wote wahusika.

Kuna lingine... vipi ripoti.. JPM sio wa mchezo mchezo mliona na flash.. yaani yupo dakila tano mbele..

Mnaosema nalipwa kwani na nyie mnalipwa kuandika humu mnayoandika!?

Mungu ibariki Tanzania.. wabaya ma waovu wote wapatikane na kuacha kuharibu jina la nchi yetu kwa masalahi yao binafsi yaliyojaa tamaa za pesa za wasiojali nchi yetu.

N.B. kama umeniquote baada ya hawa.. basi nawe usome tu haya.. CIAO
......
.....endelea kujipongeza
 
Slaa alivunjika mkono mkewe mimba ikaharibika na bado ni msaliti.... No one knows the future ni mawazo tuu
 
Wakuu,

Inadaiwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi.

Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma.

Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea Bungeni na alienda Nyumbani kula chakula cha mchana.

Lissu amepigwa risasi 5, miguuni na tumboni.

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema hali ya Mbunge huyo aliye hospitalini sasa ni mbaya!


56d494001b8e52eca1b71490ff9635e4.jpg


9f94cea0e0708e5fafb57915caf1dd27.jpg

abc21fedd617180297c6247f403b7362.jpg


Updates to follow

=======

UPDATES:

=======

UPDATE: Ndege imeshawasili Dodoma ili kumchukua Tundu Lissu kumpeleka Muhimbili kwa matibabu zaidi

DODOMA: RPC amesema watu waliomshambulia Tundu Lissu walikuwa wakitumia gari aina ya Nissan la rangi nyeupe

Freeman Mbowe: Ndugu Lissu kwa sasa yuko katika chumba cha upasuaji anajaribu kuokoa maisha yake, nitazungumza baadaye.
View attachment 583459
UPDATES: Miongoni mwa waliofika hospitali kumuona Lissu ni Spika Job Ndugai, Waziri Ummy Mwalimu na katibu mkuu wa bunge, Dkt. Thomas Kashilila

TAARIFA YA AWALI KUHUSU SHAMBULIO LA KUPIGWA RISASI MHE. TUNDU LISSU

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya kupigwa risasi Mwanasheria Mkuu wa Chama ambaye pia ni Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. Tundu Antipus Lissu baada ya kikao cha Bunge mchana wa leo.

Shambulio hilo limetokea majira ya mchana nyumbani kwake Area D Dodoma na kujeruhiwa vibaya na kukimbizwa katika Hosiptali ya Mkoa wa Dodoma.

CHADEMA tunalaani vikali kitendo hicho, na tunafuatilia kwa karibu hali yake.

Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.

Imetolewa na Kurugenzi ya Uenezi, Mawasiliano na Mahusiano ya Nje.

CHADEMA MAKAO MAKUU

DAR ES SALAAM.

=====

Preliminary Press Statement on the incidence of Hon. Tundu Lissu being shot

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) has received with great shock the report on the shooting of the Attorney General of the Party who is also the Chief Whip of the Official Opposition in Parliament and MP of Singida East, Hon. Tundu Antipus Lissu just after a Parliamentary session today.

The attack took place at his Dodoma residence at midday and was seriously wounded and had been rushed to the Dodoma Regional Hospital.

CHADEMA strongly condemns this act, and we are following up closely on his condition.

We will continue to update as we get more information.

Issued by the Directorate of Ideology, Publicity, Communications and Foreign Relations.

=======

Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ameeleza jinsi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu alivyopigwa risasi nyumbani kwake mjini Dodoma.

Selasini amesema kuwa maelezo aliyopata ni kuwa alikuwa akifuatiliwa na gari tangu anatoka bungeni na dereva wake alilishtukia. Amesema kuwa alivyoona wanamfutilia alipofika nyumbani, dereva alimsihi Lissu asishuke ndani ya gari.

"Hao watu walipoona hawashuki walijifanya kuna kitu wanaangalia walivyoona kuna utulivu walisogeza gari lao ambalo ni tinted na kuanza kurusha risasi upande wa Lissu." amesema.

Selasini amesema, “Risasi zilimpata mguuni, mkononi na tumboni lakini daktari anasema anaendelea vizuri."

Lissu amepigwa risasi leo Alhamisi na kupelekwa chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Dodoma.

Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, wabunge na viongozi wengine wa ulinzi wa Bunge wamefika katika hospitali hiyo kujua kinachoendelea.

Baadhi ya ndugu na wagonjwa wamefurika katika chumba cha upasuaji cha hospitali ya mkoa wakitafakari huku wengine wakilia.

MORE UPDATES

Katibu wa Bunge amethibitisha kufika kwa ndege Dodoma kumchukua Tundu Lissu kumpeleka hospitali ya Muhimbili ili kuokoa maisha yake

Hii habari sio nzuri kwa taifa letu.Have we really become so evil?

Ndio Lissu ana matatizo makubwa,but I think this is going a little bit to far.
 
[emoji187] [emoji187] [emoji187] [emoji188] [emoji188] [emoji188] [emoji188]
 
Troll ni binadamu, huwezi kumfananisha na mashetani kama Barbarossa na Cocochannel.

ACHA nikae KIMYA...!
Troll anayo hofu ya Mungu hawezi kusapoti dhambi za kipumbavu namna hii. Maana imeandikwa usishiriki dhambi za watu wengine.kawaachia wenyewe mzigo wa hii dhambi
 
Hao magaidi wachungwe na huko hospital wakifanye zaidi manake mamlaka hawashindwi kitu.
 
Baada ya Rais wa urusi kuendelea kufanya kazi yake kwa umakini huku akiwazidi kete wamagaribi ,,, wamagaribi walianza Ku demonize Mr.Putin ili kuonekana ni Muuaji wa Wapinzani wake ...Wanasiasa Mashuhuri kama Akina BORIS NEMTSOV walipigwa Risas mchana kweupeeeeee Kama Political Sacrifice ili tu Putin aonekane nimuuaji wa wapinzani wake .

RAIS MAGUFULI ,,NI MCHAMUNGU ,,RAIS MAGUFULI NIRAIS ANAYEPENDA HAKI ,, NINA KATAAA KATA KATA ,,NADAIMA HILI TUKIO SIWEZI KULIUSIANISHA NA SERIKALI YANGU ... HII SERIKALI INAJIELEWA SANA NABADO TANZANIA HAIJAFIKIA HII HATUA .

NACHOAMIN WAMAGARIBI HAWANA RAFIKI ,, WAKO API AKINA SABHIMBI ????? KIBARAKA ALOTUMIWA NAWAMAGARIBI LKN NDIO HAO HAO WAKAMUUA ?????? .

HII NI NJIA YA WAMAGARIBU KUTAKA KUPATA SABABU ZA KUMDEMONIZE RAIS MAGUFUL NAMWISHO WASIKU AONEKANE MBAYA.


POLE SANA TUNDU LISU , POLE SANA MKE WAKO WATOTO NAFAMILIA NZIMA.
POLENI SANA WATANZANIA WOTE.


na wale masheikh waliofungwa na kuteswa walimfanyia nani ugaidi ???
 
Daah
Halafu eti nahimizwa niwe mzalendo....
Eti niimbe mapambio yote kuusifu utawala..
Aaagh
 
Yani nyumba zilizowekewa zuio la mahakama zinabomolewa ww unaona sawa?!
Kweli Lumumba vichwa vyao vimejaa vinyesi na mikojo
Bahati mbaya sheria sijui .... Ila nachopenda ujue ,,hakuna serikali jinga ambayo inaweza bomoa nyumba za watu wake kimakosa .

Watanzania mlizoea serikali za kutofuata sheria ,,saivi zserikali inafuata sheria mnaumua sana......wametoa wafanyakazi wa lasaba mkalalama sanaaa ,,kumbe sheria ilikuwepo tayari..

Magufuli usiachie uliposhika ...hiv hivi mpaka 2025.
 
Back
Top Bottom