Dodoma: Ufunguzi wa Bunge la 12, Ndugai asema Bunge hilo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani

kwanza nani kasema tunapenda bunge la chama kimoja?, hata wakiruhusu bunge lioneshwe live bado sitalitazama. Kile chama wamejaa wanafki, waongo, viherehere, wezi......tuvumiliane tu, ni kheri wengine tuwe tunatazama katuni tu badala ya hilo bunge. Mtatujuza km kuna chochote cha muhimu kinachojiri huko
 
hapo hakuna wa kuhoji ni mwendo wa 'ndiooooooooooooooooooooooooooooooo'
Tutawakosa sana makamanda
Lissu
Zitto
Mbowe
Sugu
Mdee
Lema
Mnyika
Mchungaji Msigwa
Bulaya
matiko

Nk
 
Chadema ishakufa
Na jiwe alijiaminisha hivyo hivyo baada ya harakati zao kununua madiwani na wabunge na kusema 2020 ni mwisho wa upinzani,Chadema iko mioyoni mwa watu na ndio maana mgombea uraisi na makamo wake hawakuhitaji kutumia wasanii ili watu waje mikutanoni,CCM imetumia hela nyingi kuwalipa akina Mondi na bado haikujiamini ikaona ipore tu uchaguzi yaishe kama bado unaamini na uwezo unao mshawishi jiwe hata kesho aitishe tena uchaguzi kama hutaishia kuzabwa makofi.
 
Bunge la kuharibu Nchi yetu na kuyafanya maisha kuwa magumu zaidi. Imagine hata vikao havijaanza bei zimeanza kupaa
 
Mmeshaambiwa wabunge vijana wa Ccm watawatendea haki. Sasa mnataka nini tena? Mmezoea kulialia tu.
Kwa maana hiyo old gurds wa CCM wanajijua kuwa hawawezi hiyo kazi hivyo wanategemea vijana wao ..... yah right. Sasa vijana wenyewe ndiyo hao akina Mnyeti .....!!
 
Ndivyo alivyoambiwa aseme da janaume zima linaambiwa cha kufanya mhimili mwingine nyambafu
 
Hivi chadema wangekua wamechukua majimbo yote kasoro mawili kwenye uchaguzi, halafu CUF na CCM wakapata kitu kimoja kimoja mngesema CCM waachiwe baadhi ya majimbo ili kuweka balance bungeni?

Chadema tafuteni mlipokosea mtengeneze..... manenomaneno, matusi, uasi, ukimbizi hautamsaidia mtanzania yoyote zaidi ya hao viongozi wenu wabinafsi na wanaojifikiria wenyewe.

Chama mlikinajisi wenyewe kwa kumwita mliyemtuhumu fisadi kugombea urais, tena mbaya zaidi mlimkaribisha baada ya chama chake kumwambia hawawezi kumpa nafasi ya kuongoza dola sababu sio muadilifu.

Nyie sababu ya tamaa zenu za pesa mkamsafisha bila haya ili mshirikiane nae kufisadi nchi.
Hamkujifunza kwa Lowasa 2015........

Na ilipofika 2020 mkakinajisi tena chama kwa kumuweka mgombea mtetezi wa mataifa ya nje asiyejali maslahi ya wananchi. Eti mgombea wenu akaanza kampeni awe mbwembwe huku akiwatukana watanzania wasomi na wasio wasomi hadi maJaji kuwa hawajui kiingereza, eti mkawadharau police na kuwaambia wamechoka na wana hali mbaya, mgombea wenu akawa mjuaji wa kila kitu akamdharau hadi baba wa taifa Nyerere. Kwa kampeni zake hakuna kilichofanyika Tanzania tangu wazungu waondoke.... analazimisha eti hata kwenye reli hakuna kilichofanyika ila reli imejengwa na mjerumani
Juu ya yote akawaahidi waliomtuma hadi kwenye ilani ya chama chenu kwamba akiingia ikulu ataweka madini kama dhamana kwao ili wampe pesa.

Kampeni mwanzo mwisho mgombea wenu alikua akituringishia nguvu ya wazungu, akijidai wakili wake anafuatilia kitu. Watanzania walijiuliza hivi tukimpa kura atatuongoza yeye au atatuongoza kwa amri ya hao mabwana aliowaahidi kuweka mali zetu rehani kwao?

Hivi kweli hadi Karne hii bado kuna wasomi wa Tanzania tunatumia elimu tuliyo nayo kuweka rehani nchi yetu kwa wazungu badala ya kutumia ujuzi na elimu yetu kuvuna rasilimali zetu kwa faida? Tundu amelifedhehesha sana taifa

Hivi mlifikiri watanzania ni wajinga kiasi cha kumchagua mtu kama huyo kuwa rais wa nchi?
Wafuasi wa Tundu ambao ni wachache sana wana mienendo kama ya Tundu.
Tuliwashauri mapema mkawe mawakala ili mkasimamie haki mnayoiimba hapa jf hamkuskia, tena badala yake chama chenj kikatafuta ambao hadi leo hakijawalipa posho zao.

Matokeo yake kila siku mnarudi hapa kulalamika kwamba mmeibiwa kura, hivi hamjisikii aibu kila uchaguzi mnalalamikia tatizo lilelile kama sababu ya kushindwa? Hamuoni kama nyie ni chama kisichoweza kutatua matatizo ya chama wala ya wananchi?

Haya sasa wananchi wamewakataa kwenye kura, wamewakataa kwenye maandamano, wamewakataa kwenye kuigomea serikali....... na hii inaonyesha chama chenu sio cha wananchi bali ni cha viongozi ndio maana mmebaki wenyewe mkihangaika.
Ingekua wananchi wanawapenda kungekua na maandamano yasiyozuilika kama maji ya jangwani kipindi cha mafuriko ila wananchi wana raha na amani tele, hata wale mliowaandaa kwa malipo sasa wanajuta na hawawezi rudia

Kwa tamaa zenu 2015 mliua kile chama tulichokipenda, Ile chadema ya wananchi, chadema iliyokua tumaini la wanyonge, chadema ya Mzee Ndesamburo na Dr Sla na wale viongozi wengine makini. Laana itawaandama kama hamtawaambia wananchi mliwakosea ili muanze upya

Maisha sio rahisi kwa mtanzania yoyote hata kwa Rais, huu ni muda wa kujenga uchumi wetu tuliouharibu na huduma za kijamii kwa maslahi yetu wote. Acheni kulalamika sasa

Mods msidelete
 
Heri mchawi mwanaume Kuliko Mchawi Mwanamke kama hyu..bibi yangu alipata kuniambia!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Hilo sio bunge, bali ni mkutano wa CCM uliojigeuza bunge kwa kunajisi box la kura na umwagaji damu.

Hilo sio Bunge bali ni mkutano wa wafuasi wa JIWE a la KIBWETERE!! CCM is now a CULT.
 
Nendeni mkawalaumu wananchi waliowaadhibu kwa sanduku la kura..shwainnnnn....mnajifanya wajanja utadhani mnajipigia kura wenyewe..hahahhahaha...hapo ndio mmejua msiwachukulie poa watanzania..anakuchekea then baadae anakuchinjia baharini
 
Hilo sio Bunge bali ni mkutano wa wafuasi wa JIWE a la KIBWETERE!! CCM is now a CULT.
Mtazoza Sana Lakini mkiendelea na ujeuri wananchi wataendelea kuwafyeka hata mwaka 2025 na 2030..
 
Back
Top Bottom