Dodoma vs Thika

I though nyinyi mnajenga na pesa za ndani. Kumbe hata nyinyi pia majina zenu zipo katika vitabu vya deni?
 
Kwakua vuvuzela umesema ndio nkusikilize?pimbi

Mwana govi wa siku zote. Utazeekea JF huku Kenya ikipiga hatua baada ya nyingine. Dodoma itabaki tu kuwa a poverty striken backwaters little town
 
I though nyinyi mnajenga na pesa za ndani. Kumbe hata nyinyi pia majina zenu zipo katika vitabu vya deni?
Kama nanyi mnakopa sisi ndio nani tusikope
 
It is an industrial town. The most industrialized town in Kenya outside Nairobi. Huko kuna viwanda vingi kushinda hata Dar is slum.
Haha Dar imeingiaje kwenye sentensi moja na thika?
 
Mwana govi wa siku zote. Utazeekea JF huku Kenya ikipiga hatua baada ya nyingine. Dodoma itabaki tu kuwa a poverty striken backwaters little town
Haha govi depay DODOMA inakua kwa kasi bro but usichanganye maendeleo ya sehemu na watu bado changamoto zitakuepo
 
Mwana govi wa siku zote. Utazeekea JF huku Kenya ikipiga hatua baada ya nyingine. Dodoma itabaki tu kuwa a poverty striken backwaters little town
Nasikia huko vumbi na jua is the order of the day
 
Mara nyingi mumesema nyinyi mnajenga na pesa za ndani kwenye hizo forums na hata Wewe unakubali hilo.
Kuna miradi mingine inabidi mukope ilo lipo wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…