Dodoma vs Thika

Dodoma vs Thika

Thika inafahamika na nyie wakenya wazawa tu katika Raman ya miji muhimu huwezi kuiskia ujinga kama huo
I bet I can say the same thing about Dodoma, your capital city
 
I bet I can say the same thing about Dodoma, your capital city
DODOMA Ni capital city hata iyo status tu inatosha kufanya ifahamike sio lazima kue kama Pretoria
 
Kenya mmepiga maendeleo hadi tunawaonea wivu-quote kada wa ccm Lowassa Kajiado Kenya.
 
Tunasema Dodoma ni jiji lakini unapokaribia kuingia mjini maeneo kama Ipagala unakutana na vinyumba vya tope kitu ambacho huenda hata wageni kinawashangaza sana.
Seriously dodoma is not a city, Ni kwavile tu kauli ya Jiwe ni amri basi ndo ikitwa city, Watu wengi walioeliika walikosoa ule uamuzi alioutoa jiwe, alilazimisha iitwe jiji lakini bado haijafikia hadhi ya jiji...ukweli mchungu
Dodoma Jiji na nyumba za tope kuelekea katikati ya Jiji - JamiiForums
Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe - JamiiForums
Nimeshtuka baada ya kuiona Dodoma, kwanini imeitwa jiji? - JamiiForums

😄😄😄
Hatari sana .Nimecheka lol... 😆😆😆
 
Weka evidence
Sent using Jamii Forums mobile app
Del Monte Kenya Limited is a Kenyan food processing company that operates in the cultivation, production, and canning of pineapple products. The company produces canned solid pineapple, juice concentrates, mill juice sugar and cattle feed. Kenya's largest single manufactured export is canned pineapple, and the country ranks among the top five pineapple exporters in the world, both of which feats are direct results of the company's existence and operations
 
Mount Kenya University
download (1).jpg
 
Since when Del Monte became a Kenyan Company?
 
Back
Top Bottom