Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I bet I can say the same thing about Dodoma, your capital cityThika inafahamika na nyie wakenya wazawa tu katika Raman ya miji muhimu huwezi kuiskia ujinga kama huo
Nasikia huko vumbi na jua is the order of the day
That is a kwashiorkor city ofcourseDODOMA Ni capital city hata iyo status tu inatosha kufanya ifahamike sio lazima kue kama Pretoria
Vipi mlimaliza hadi supu ya Albino?Kwanza vp mmeshapata unga uko?nasikia hali tete [emoji23][emoji23]
Tunasema Dodoma ni jiji lakini unapokaribia kuingia mjini maeneo kama Ipagala unakutana na vinyumba vya tope kitu ambacho huenda hata wageni kinawashangaza sana.
Seriously dodoma is not a city, Ni kwavile tu kauli ya Jiwe ni amri basi ndo ikitwa city, Watu wengi walioeliika walikosoa ule uamuzi alioutoa jiwe, alilazimisha iitwe jiji lakini bado haijafikia hadhi ya jiji...ukweli mchungu
Dodoma Jiji na nyumba za tope kuelekea katikati ya Jiji - JamiiForums
Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe - JamiiForums
Nimeshtuka baada ya kuiona Dodoma, kwanini imeitwa jiji? - JamiiForums
Del Monte Kenya Limited is a Kenyan food processing company that operates in the cultivation, production, and canning of pineapple products. The company produces canned solid pineapple, juice concentrates, mill juice sugar and cattle feed. Kenya's largest single manufactured export is canned pineapple, and the country ranks among the top five pineapple exporters in the world, both of which feats are direct results of the company's existence and operationsWeka evidence
Sent using Jamii Forums mobile app
😄😄😄
Hatari sana .Nimecheka lol... 😆😆😆
Del Monte Kenya Limited is a Kenyan food processing company that operates in the cultivation, production, and canning of pineapple products. The company produces canned solid pineapple, juice concentrates, mill juice sugar and cattle feed. Kenya's largest single manufactured export is canned pineapple, and the country ranks among the top five pineapple exporters in the world, both of which feats are direct results of the company's existence and operations
haha eti 'tutakua tunahamia toka jiji kwenda kijijini'😄😄😄
Hatari sana .Nimecheka lol... 😆😆😆